TiGo BaNa

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,021
189
Tigo tena kwa mara nyingine tena
sasa unaweza kujua uzito wako kupitia simu yako ya mkononi.Cha kufanya andika neno Uzito kisha tuma kwenda number 15003 na kisha simama juu ya simu yako.muda si mrefu utapokea sms kukujulisha Uzito wako,
Tigo,Express yourself
 
Wanayo pia huduma nyingine ya kupasha maji moto andika neno MOTO kisha tuma kwenda 15509 kisha tumbukiza cm kwenye maj baada ya dakika 10 maj yatakuwa ya motooo mi ndo nnavyofanya kila sku jarbu na wwe
 
Mmmhhh!!! Munzani wao hauko sahihi coz wananiambia nina kilo 120 wakat Me najua fika kuw nin kilo 42.
 
hahahaha, tigo wapo juu, ukitaka msosi unaandika neon chakula unatuma kwenda namba 12005. unabata mlo kamili.
 
Back
Top Bottom