MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Naona Tigo wamerekebisha vifurushi vyao
Mkuu angalia vzr hii itakuwa airtel 🤣🤣🤣 tigo navowafahamu ni vichwa panzi🤣🤣🤣Naona Tigo wamerekebisha vifurushi vyaoView attachment 1703690
Ni Tigo jaman hiyo natumia saivMkuu angalia vzr hii itakuwa airtel tigo navowafahamu ni vichwa panzi
Hongera mkuu, tupe sir ya mafanikio mkuu au uliwakoromea😆😆😆Ni Tigo jaman hiyo natumia saiv
Katoe sadaka ya shukrani Mkuu, Maana hawa jamaa wa mitandao wamekuwa ma nyonya damuNaona Tigo wamerekebisha vifurushi vyaoView attachment 1703690
Hamna kitu kama hicho.Ni Tigo jaman hiyo natumia saiv
Hivi ni vifurushi vya social bila shakaNaona Tigo wamerekebisha vifurushi vyaoView attachment 1703690
menyu ipi hii mkuuNaona Tigo wamerekebisha vifurushi vyaoView attachment 1703690
Unapiga *147*23# ndo unapata hiyo ofa ila kwa baadhi ya lain mpka iwe ya mda kidogo mim lain yangu ina miaka 9 saivHivi ni vifurushi vya social bila shaka
Hio namba sio ya kuombea mkopo tigo kwa Riba Ya Asilimia 35%, wewe waponze watu wachukue mikopo bila akili zao, utawakoma wana JF kuwalazimisha kukopa bila kupenda.Unapiga *147*23# ndo unapata hiyo ofa ila kwa baadhi ya lain mpka iwe ya mda kidogo mim lain yangu ina miaka 9 saiv
Hahahahaha mnapitwa na ving jamanHio namba sio ya kuombea mkopo, utawakoma wana JF kuwalazimisha kukopa bila kupenda.
Mkuu hebu acha utani.Hahahahaha mnapitwa na ving jaman
Wapo sahihi kuanzia namba 5.Naona Tigo wamerekebisha vifurushi vyaoView attachment 1703690
Hio namba sio ya kuombea mkopo tigo kwa Riba Ya Asilimia 35%, wewe waponze watu wachukue mikopo bila akili zao, utawakoma wana JF kuwalazimisha kukopa bila kupenda.