RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,431
Watu wengi sasa wanalalamika Hasa kwenye Mitandao ya Kijamii na Kushtuka Kuhusu Unapotaka Kuangalia Salio Lako kwa Huu Mtandao wa Tigo
Wanakutana Na Message Ya Kuambiwa Simu Yako ni Bandia.. Sasa jinsi Wanavyoiweka Hiyo Message kana kwamba Ni kweli simu yako ni Bandia Kwahiyo unatakiwa kuibadili Kabla ya juni .. Tigo Rekebisheni hiyo message Yenu Na Iwe kama Tangazo na Si Kuwarusha Watu Roho kwa Kuwaambia Simu zao ni Bandia.. Wekeni Neno JE! pamoja Na Questuon Mark