Tido Mhando Na Tbc Mbona Hatuoni Jitihada Zenu Kuwarithisha E.m.sokoine Kizazi Kipya

FDR Jr

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
249
8
NDUGU WANA JF, NIKIWA NINA HAMU YA KUFAHAMU MAISHA HALISI YA KIANA HARAKATI NA SIASA KWA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA TATU WA TANZANIA NDG YETU EDWARD MORINGE SOKOINE,BINAFSI NAFAHAMU KIDOGO KWA KUSOMA NA KUSIKILIZA YALIYOTANGAZWA 1984 APRIL NIKIWA MWANAFUNZI WA DARASA LA NNE S/MSINGI HUKO MKOA. MASIKU HAYA TZ INA MEDIA NYINGI NA ZINGINE ZIMEJIPA WASIFU WA KUWA WATETEZI WA WANYONGE LAKINI WOTE KWA PAMOJA NA TBC WANASHIRIKIANA KUANGAMIZA JINA NA MAISHA HALISI YA MZALENDO NAMBARI 1. EDWARD MORINGE SOKOINE, TENA KWA MAKUSUDI, SOKOINE ALIJAALIWA SAUTI YA UPOLE NA MANENO MAKALI YALIYOBEBA UHALISIA WA ROHO YAKE NA MATENDO YAKE HASIKIKI WALA KUONYESHWA KTK RUNINGA ZETU,NINI KINACHOTUOGOFYA HATA KUANGALIA KIVULI CHAKE AU MWANGWI WAKE ? IKIWA TUNAPENDA KUIONA TANZANIA BORA BASI NI WAJIBU WETU SOTE KUANZA KUREJEA NJOZI ZA MWANUME YULE LAKINI PIA NI WAJIBU WA MSINGI KABISA WA WANA HABARI WETU HAWA TUNAOWALALAMIKIA KILA KUKICHA KUIFANYA KAZI YENYE MANUFAA KWA VIZAZI VIJAVYO.
MZEE TIDO,NI LINI TUJIANDAE KUONA HARAKATI ZA SOKOINE KUELEKEA MAENDELEO YA KWELI NA HAKI? TBC-TAIFA,RUNINGA FANYENI HILI ILI MZEE PINDA ATAMBUE VIATU HIVI VILIMTOSHA MTU MMOJA TU NAYE SI MWINGINE BALI NI EDUARD MORINGE SOKOINE,AKITAMBUA HILO ATAJUA KUWA SAFARI YAKE NI NDEFU KTK NJIA NYEMBAMBA,MUNGU IBARIKI AFRIKA,TANZANIA;AMEN
KAKA TIDO WAPE WATANZANIA HAKI YA KUMTAMBUA NA KUJIFUNZA KWANI KWAKE EDWARD MORINGE SOKOINE , HUYU NDIYE MTANZANIA BORA TANGU UHURU MPAKA SASA,NI OPEN BOOK MSIKIFUNGE ACHENI TUKISOME ILI TUZEEKE TUKIWA NA AMANI,NATOA HOJA
 
EDWARD MORINGE SOKOINE....(mmasai ambaye hakuwaaibisha wamasai)....(manake kuna wamasai waliowaaibisha wamasai)..MTU WA MISIMAMO....(ambaye aliwahi kumgomea mwalimu kwa hoja na si woga[waoga walimwogopa mwl.kutokana na kukosa hoja za kujibizana naye,na kudiriki kumwita 'haambiliki' kutokana na hoja zao dhaifu]),ALIYEKUWA FRONT LINE KUPAMBANA NA WAHUJUMU UCHUMI.....(naomba angekuwepo leo kwenye sakata kama la ric-mon tungeona jinsi ambavyo angewaangukia)....ALIPENDA SHULE.....(alirudi darasani akiwa na wadhifa mkubwa tu).....KIFO CHAKE MIMI NILIKUWA MDOGO KIDOGO ILA BADO MATUKIO NAYAKUMBUKA.......dada yangu alirudi mapema sana toka shule siku hiyo huku akilia.....(she was std 2) kama sikosei...nilimuuliza nanai amekufa?AGNES......!(MAREHEMU MDOGO WANGU)((sababu ni punde tulifiwa na mdogo wetu(AGNES) na niliona jinsi watu wazima wakilia).....akanijibu yule mtu anayetupa chakula tukala tukaishi.....(natokwa na machozi0KUMBUKA MAHINDI YA YANGA NA NJAA YA 1984......TOKA WAKATI HUO NIMEKUWA NIKIMUENZI ......MMASAI WA KWELI......KIONGOZI.....MWANAMAPINDUZI...JEMEDARI....EDWARD MORINGE SOKOINE......! nilipokuwa nataka kumuona huyo sokoine(though late) wakaniambia kaburi lake linalindwa,wachina wanataka kumrudisha,...lakini usijali kuna mtoto wake huyo ni ...."LIKE FATHER LIKE SON"
SIO KAMPENI TAFASHALI....!
(kum
 
NDUGU WANA JF, NIKIWA NINA HAMU YA KUFAHAMU MAISHA HALISI YA KIANA HARAKATI NA SIASA KWA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA TATU WA TANZANIA NDG YETU EDWARD MORINGE SOKOINE,BINAFSI NAFAHAMU KIDOGO KWA KUSOMA NA KUSIKILIZA YALIYOTANGAZWA 1984 APRIL NIKIWA MWANAFUNZI WA DARASA LA NNE S/MSINGI HUKO MKOA. MASIKU HAYA TZ INA MEDIA NYINGI NA ZINGINE ZIMEJIPA WASIFU WA KUWA WATETEZI WA WANYONGE LAKINI WOTE KWA PAMOJA NA TBC WANASHIRIKIANA KUANGAMIZA JINA NA MAISHA HALISI YA MZALENDO NAMBARI 1. EDWARD MORINGE SOKOINE, TENA KWA MAKUSUDI, SOKOINE ALIJAALIWA SAUTI YA UPOLE NA MANENO MAKALI YALIYOBEBA UHALISIA WA ROHO YAKE NA MATENDO YAKE HASIKIKI WALA KUONYESHWA KTK RUNINGA ZETU,NINI KINACHOTUOGOFYA HATA KUANGALIA KIVULI CHAKE AU MWANGWI WAKE ? IKIWA TUNAPENDA KUIONA TANZANIA BORA BASI NI WAJIBU WETU SOTE KUANZA KUREJEA NJOZI ZA MWANUME YULE LAKINI PIA NI WAJIBU WA MSINGI KABISA WA WANA HABARI WETU HAWA TUNAOWALALAMIKIA KILA KUKICHA KUIFANYA KAZI YENYE MANUFAA KWA VIZAZI VIJAVYO.
MZEE TIDO,NI LINI TUJIANDAE KUONA HARAKATI ZA SOKOINE KUELEKEA MAENDELEO YA KWELI NA HAKI? TBC-TAIFA,RUNINGA FANYENI HILI ILI MZEE PINDA ATAMBUE VIATU HIVI VILIMTOSHA MTU MMOJA TU NAYE SI MWINGINE BALI NI EDUARD MORINGE SOKOINE,AKITAMBUA HILO ATAJUA KUWA SAFARI YAKE NI NDEFU KTK NJIA NYEMBAMBA,MUNGU IBARIKI AFRIKA,TANZANIA;AMEN
KAKA TIDO WAPE WATANZANIA HAKI YA KUMTAMBUA NA KUJIFUNZA KWANI KWAKE EDWARD MORINGE SOKOINE , HUYU NDIYE MTANZANIA BORA TANGU UHURU MPAKA SASA,NI OPEN BOOK MSIKIFUNGE ACHENI TUKISOME ILI TUZEEKE TUKIWA NA AMANI,NATOA HOJA

mzee Idriss Abudl wakil au mzee Aboud Jumbe mbona hujawataja?

au?
 
Kama yeye kamtaja Sokoine, si vibaya kama wengine watawakumbuka na kuongeza majina ya viongozi/au watu katika nafasi mbalimbali waliyotangulia huko au hata wale waliobado wanaishi lakini hawamo tena ktk pilikapilika za kazi. Lakini si kulaumu kwa nini kamtaja mmoja tu badala ya kumpongeza kwa kuanzisha hoja yake.

Lakini pia tuwe wakweli si kila aliyepata kushika madaraka makubwa ya nchi, n.k. kuwa alifanya mambo muhimu ya nchi na kwa taifa ili aweze kukumbukwa. Wapo viongozi wengi waliyofikia ngazi hizo kwa kubebwa tu na bado wakashindwa kuonyesha uwezo wao na kujitambulisha wao kama wao.
 
..nafikiri Sokoine was a good man, but also very misguided.

..yeye alifikiri tatizo la uzuraraji/ukosefu wa ajira litakwisha kwa kusomba watu mijini na kuwapeleka gazaulole,kibugumo, na mwananyiratu, wakalime.

..Mwalimu alipomuazima hatamu za uongozi wananchi walikuwa wakikamatwa na kufunganishwa mashati kama mifugo, kutupwa kwenye magari ya serikali waliyoichagua, na kupelekwa wakalime.

..Kampeni ya Uhujumu Uchumi ilikamata hata watumishi waadilifu. Yuko meneja wa shirika la meli ambaye alikamatwa kwa kukataa kusafirisha sementi ya kiwanda cha wazo. Hoja ya meneja huyo ni kwamba kiwanda cha wazo walikuwa na deni wameshindwa kulipa bila sababu za kuridhisha.

..Sokoine alikuta sementi imeganda bandarini na hivyo akaamua kwamba meneja wa kampuni ya meli ni mhujumu uchumi. Meneja wa kampuni ya meli akatupwa jela bila kuzingatia kwamba alikuwa na matatizo ya afya ambayo yasingemwezesha kumudu mazingira ya magumu ya jela.

..yuko mhindi wa Bukoba ambaye alikuwa na kampuni ya mabasi. Mhindi huyo alisaidia sana ktk kusafirisha wanajeshi wetu wakati wa vita vya Kagera. Alikuja kukamatwa kwa uhujumu uchumi!!

..mifano iko mingi mno. maisha ya wananchi wasio na hatia yaliharibiwa na kampeni ya wahujumu uchumi iliyoongozwa na Edward Sokoine. Serikali imekuja kulipa fidia kubwa kutokana na kesi za madai.

..To cut the story short, wananchi walikamatwa kwa uhujumu uchumi kabla ya sheria hiyo kupitishwa na bunge la jamhuri. wana harakati za haki za binadamu na utawala bora na wa sheria sijui wako wapi hapa.

..Nadhani Jaji Mwalusanya alilipinga zoezi lile kwa nguvu zote.
 
WOTE HAO WATAKUMBUKWA KWA MEMA YAO NA MABAYA YAO,VIVYO HIVYO KWA SOKOINE; HOJA YANGU NI UBUBU WA MEDIA ZETU JUU YA HUYU NDG.SOKOINE, KTK ZAMA ZAKE ANAKUMBUKWA 90% YA UCHAPA KAZI MAHIRI,UADILIFU,HAKI NA 100% UAMINIFU NA KUWAPENDA WATANZANIA WOTE,IKIWA HUYU NDUGU SOKOINE ALIVUKA VIWANGO KTK UONGOZI WA NCHI HII, IWEJE MZALENDO HUYU ALIYEKUWA TISHIO KWA MANYAN'GAU KULIKO HATA KAMBARAGE,MTU AMBAYE ULIKUWA HUWEZI KUFANYA CON AKAKUACHA SALAMA,MTU AMBAYE HAKUTISHWA NA MITEGO YA MAADUI ZAKE KWANI ALIJIAMINI NI MSAFI,HUYU HAKUWA MTU AU KIONGOZI JUST BECAUSE YA KURA ZA WANANCHI BALI ALIWAINGIA DAMUNI WATZ,MKONO WAKE WA DOLA ULIMFIKIA KILA ALIYENUKA UVUNDO DHIDI YA UMMA,SASA KAMA Abdul Iddrisa Wakil Nombe,Maalim Aboud Jumbe Mwinyi UNADHANI WANAFANANA NA MTANZANIA SOKOINE VEMA,NA UNAYO HAKI YA KUJENGA HOJA; NASIMAMA KTK MSTARI ULIONYOOKA,TUNAHITAJI KUFAHAMU NI KWA NINI MEDIA ZA UMMA NA BINAFSI HAWAFANYI JITIHADA ZA KUIRITHISHA TZ HII YA LEO ,URITHI WETU SAHIHI AMBAO NI EDWARD SOKINE, MASHAKA YA NINI?KUMBUKENI SAUTI TOKA KIJIJINI MPAKA MJINI ILIVYOMLILIA EDUARD SOKOINE ,WIMBO ULE NILIUSIKIA NIKIWA KIJANA MDOGO WA MIAKA 10 NIKO STD 4(Eduard Sokoinex2 Kwaheri,Ulikuwa nasi Eduard,......),NAPENDA WATANZANIA TUONE FOOTSTEP ZAKE KIJOGOO HUYU,TUREJEE HOTUBA ASKOFU DENIS...,ANGALIENI MZEE JULIUS ALIVYOJIKUTA AMEKOSA HOJA ZA KUPUNGUZA SIMANZI YA MSIBA ULE,KUMBUKENI JAMII ILIVYOWACHUKIA KAWAWA NA MSUYA BAADA YA MSIBA ULE,REJEENI MAELEZO YA HORACE KOLIMBA KTK MSIBA ULE,NILIKUWA DARASA LA NNE LAKINI NAYAKUMBUKA YALE ZAIDI KULIKO 1999,KWANINI WANA HABARI HAMTAKI HUYU MWANAUME WA SHOKA ISISIKIKE? MUNGU IBARIKI TANZANIA,NATOA HOJA
 
Back
Top Bottom