Tido Mhando na Kinana ndani ya TBC1, wasema elimu bure haiwezekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tido Mhando na Kinana ndani ya TBC1, wasema elimu bure haiwezekani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 9, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanaendeleza porojo zao kuwa elimu bure na afya haviwezekani
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Inashangaza sana kuwa sasa elimu inalipiwa lakini kiwango chake kimeshuka mno na ile inayotolewa mazingira yake ni mabaya. Enzi zetu tulipokuwa tunasoma bure, watu wengi walikuwa wanatoa watoto wao kutoka shule za kulipia (private) na kuwatafutia shule za serikali za bure kwa msingi kuwa zilikuwa na waalimu na vifaa bora.

  Wazo la kupatiwa elimu bure kwa kila mtu linafurahisha wapiga kura kwa vile ndio mategemeo ya wengi, na hili linawatisha sana ccm ndio maana wanafnya kila njia kusema kuwa elimu ya bure haiwezekani. Huduma za bure kwa wananchi zinawezekana pindi pale rasilimali za nchi zitatumiwa kwa manufaa ya taifa zima na si kwa watu wachache wanaokwapua mabilioni. Ndio maana wanakazana kuema kuwa ufisadi si hoja-unaweza kuamini hiyo kauli? Eti ufisadi si hoja!
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  angalia kwa makini vichwa vyao (KINANA na TIRDO), morphology yao imekaa kitaahira taahira zaidi. msiwajadili subirini tarehe 31 oct. muone watakavyojinyea.
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwizi kama amekuwa anaiba kila siku na hachukuliwi hatua na wenye mali utafika wakati ataona kama kuiba ni haki yake. Na hivyo anaweza kutamka hadharani kwamba wanaomzuia kuiba wana wivu wa kike.
   
 5. u

  urasa JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kanga,t shirts,kuwasombelea watu na malori,kuwalipa wasanii kwenye kampeni zao,kuwanunua wapinzani vinawezekana ila elimu na afya bure haviwezekani
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hivi bado wako bize na kampeni??
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Tena tido mpaka domo lake akiongea anaonekana Amekaa kiomondi omondi hivi
   
 8. l

  lwangwa Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli tido na kinana tahira tu
   
 9. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  kinana alinekana kuzifahamu figure za redirty vizuri kwa kuwa yeye ndio amepanga .mahojiano yote kinana alikuwa anarefer redirty report
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  mbona kuna nchi nyingi tu za ulaya ambapo elimu na matibabu ni bure? kwanini ishindikane tanzania????/ kama si ujingu wa baadhi ya watu wenye fikra potofu kama hizo?
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,751
  Likes Received: 4,975
  Trophy Points: 280
  ..mbona Kenya inawezekana?

  ..what can we do to make free education a reality in Tanzania?
   
 12. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama msemao 'tunaongoza kwa ridhaa ya wajinga wengi ' ni wa keli kazi tunayo.
  Shule bora ni muhimu sana kwa wadogo/watoto wetu but siyo za kata maana hazitamanishi baadhi ya sehemu ninazozifahamu.
   
 13. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  wote hawa ni pandikizi la ccm. Kama ilivyo ccm, ndivyo walivyo wote wanaoiunga mkono.

  Tido na kinana wote walisoma bure, kwanini ili lisiwezekane kwa sasa?

  Wakawadangwanye wadanganyika
   
 14. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jokakuu can you please tell us, when education become free who gona pay for it?
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kasheshe,
  I can tell you. Ukipunguza baraza la mawaziri kutoka arobaini hadi 20. Ukipinguza mishahara ya wabunge na marupurupu yao. Ukipunguza 30% za bajeti inayotumika kwa chai na vikao vya warsha, inawezekana. Yes we can, alisema Obama, and it can be done, alisema Nyerere. Priority, my friend, priority! Na hapo hujaweka 30% ambayo Kikwete alikiri inaishia mifukoni mwa mafisadi kutokana na corruption.
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hivi bado kuna wapenda maendeleo ambao bado wanaiangalia tbc1. nenda ss3 uone starz mbele ya KIWETE.
   
 17. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tido Mhando and kinana
   
 18. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa wao kama wanabisha si wampe Slaa kipindi japo cha robo saa wamuulize elimu bure itawezekana au la, then ndio waconclude.
   
 19. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi nyini zinatoa elimu bure tena hadi zinatufundishia na wataalamu wetu kwa pesa ya walipa kodi wao siyo sisi. sasa kwa nini isiwezekane? Hawa wanalao jambo, ngoja tuone hapo octiber 31 itakuwaje. Ila naomba chadema wachukue hatamu.
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,925
  Trophy Points: 280
  Hii Hoja ya kudai elimu bure haiwekzekani ccm wanaitumia lakini ndiyo itawamaliza!

  Mwananchi hawezi kukichagua chama kinachosema elimu bure haiwezekani na wao wanaona viongozi wanaishi maisha ya anasa kwa kutumia jasho la wananchi pamoja na rasilimali za Taifa!Si walishaambiwa hata nyasi watakula ilimradi waliyemwajiri anunue ndege?kabla wananchi hao almaaruf kama wadanganyika hawajaambiwa kuwa "kelele za mlango hazimnyimi mwajiriwa wao wa sasa usingizi",mwajiriwa aliyepita ambaye alikuwa radhi kununua ndege hata ikibidi wananchi kufa njaa alishawahi kuwaita waajiri wake "Wenye wivu wa kike" Huu ni si tu kuwa ni utovu wa nidhamu na fadhila,bali ni ukatili uliopita kiasi.

  ccm wamechanganyikiwa coz wananchi wameshtukia janja ya nyani kula mahindi mabichi!chadema wanaplay a very smart game na tatizo la ccm ni kwamba mizizi ya ufisadi imekuwa mikubwa sana na inavunja nyumba sasa!Hivyo kuifanya chadema kuwa na kazi ndogo ka kumsukuma mlevi vile,yani ni sawa na kusema tu "ambacho wao hawawezi siye tunaweza"

  Mwananchi anataka kusikia "Yes we can" Kwamba elimu itakuwa bure na sementi mfuko elfu tano...Na mwananchi anaelezwa ni kwa vipi hilo litawezekana....Wote mnajua matumizi na mishahara ya viongozi na gharama zao ilivyo kama kufuru!

  Kumwambia mwananchi hayo ya msingi kama elimu hayawezekani ni sawa na kumwambia kuwa umasikini wake ni wa milele,sasa shangaa hapo!Umasikini wao ni wa milele na mafisadi unyonyaji na ufisadi wao wa rasilimali za Taifa ni vya milele?Ni lazima watajiuliza.

  Sidhani kama watadanganyika this time! Kama wameshajua haya mambo ya EPA,Kagoda,MEREMETA,RICHMOND AKA DOWANS,Buzwagi,Twin towers,Ndege ya Rais,Rada etc sidhani kama wataendelea kuridhika na umasikini uliosababishwa na utawala wa ccm kwa miaka yote hamsini.
   
Loading...