Kumtaja Kikwete haisaidii, cha msingi mahakama imkute innocent, itamwachia tu .kama alizila ,wafwaaaaa!
Tukumbuke Kesi ya Costa Mahalu balozi wa Zamani wa Tanzania nchini Italia naona kama hii kesi nayo inaelekea huko. Mwisho wa siku mwenye uamuzi wa hukumu atakuwa JK kama ilivyokuwa kwa Ben
Nadhani atashuka hatapanda!So JK atapanda mahakamani?
And the Nigga is real thing.
Jamaa aling'ata na kupuliza....Ndio maana yule jamaa wa kule shy mtaalam wa haya masheria aliwahi kusema aliuye kupa maelekezo wewe uuze mijengo ndiye alye niagza Mimi pia...
Anaitwa Constantine Mahalu,Umesahau Mkapa alivyopanda kumtetea Professor Fulani?!
Tido hawezi kuwa punda hata siku moja.
Mkuu kuna Uzi humu kuhusu ilo tukio ? NipitieUmesahau Mkapa alivyopanda kumtetea Professor Fulani?!
huyo mtaalamu wa masheria ni yule kila dili la mjini akosekani?Ndio maana yule jamaa wa kule shy mtaalam wa haya masheria aliwahi kusema aliuye kupa maelekezo wewe uuze mijengo ndiye alye niagza Mimi pia...
Ndiye mwenye makengeza... Macho yake yanaona pesa tu...huyo mataalmu wa masheria ni yule kila dili la mjini akosekani?
Maigizo mengi... Kama hapo kesi ndio imeisha hapo... Mh JK hawezi zalilika kwa kort alafu mkulu wa magogoni aangalie tu no ngumu...Jamaa aling'ata na kupuliza....
Hii Nchi ilikwisha kuliwa imekwisha kila sehemu yenye wizi jua kuna kiongozi yeyote mkubwa amehusika....
Kwa mwendo huu hatukuja kuona mabadiliko yoyote labda tu serikali chini ya mwamvuli wa CCM itolewe madarakani, naona JPM anajitahidi kugusa gusa ila pia kuna sehemu hawezi tia makucha yake....
Pia tutegemee kusikia mabaya zaidi kutoka kwake pindi atakapokabidhi kijiti kwa mtu mwingine....
Yap yap,Costa Mahalu,alikuwa na kesi ya matumizi mabaya ya pesa,kwamba alinunua nyumba ya ubalozi kwa pesa ndefu,Mkapa alipoitwa kutoa ushahidi,kesi ikaisha hapo hapo,Kama nayaona yale yaliyotokea kwenye kesi ya mheshimiwa mmoja aliyekuwa balozi mitaa flani hivi huko majuu.