Tido Mhando akiri kuihujumu TBC

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,072
1,846
Ofisa mwandamizi wa Takukuru,Victor Lesuya,ameiambia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu,kuwe,Tido Mhando alikiri kusaini mikataba mitatu na kituo cha habari cha chanel 2 (BVI) bila kushirikisha mtu yeyote TBC
 
Mwenyewe hawezi kuongea?
 
hahahaha unanikumbusha waziri aliye saini mkataba bila ya kusoma.
 
Kakiri mahakamani au kwenye mahojiano yao huko walipowahoji?
nini ambacho hakieleweki,nimesema alikuwa anaiambia mahakama,kama ushahidi,ikumbukwe hii ni kesi,nadhani iliwahi kuingia hapa Jf
 
Ofisa mwandamizi wa Takukuru,Victor Lesuya,ameiambia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu,kuwe,Tido Mhando alikiri kusaini mikataba mitatu na kituo cha habari cha chanel 2 (BVI) bila kushirikisha mtu yeyote TBC
Lakini hiyo haiconclude kwamba aliitia hasara serikali.Admission not confession
 
Ofisa mwandamizi wa Takukuru,Victor Lesuya,ameiambia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu,kuwe,Tido Mhando alikiri kusaini mikataba mitatu na kituo cha habari cha chanel 2 (BVI) bila kushirikisha mtu yeyote TBC
duh!!
 
Illogical analysis;
Kama amekiri na amekutwa na kosa why ameachiwa huru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom