TID Jela Mwaka mmoja

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,941
3,042
Muziki wa Top Band utasimama kwa mwaka mmoja kufuatia Boss wake kupata mvua ya mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujeruhi. Alifanya vurugu wakati akijaribu kumridhisha mpenzi wake wa kike kuwa yeye ndiye mwanaume baada ya mpenzi wake ku-misplace kibegi chake, ndipo TID alipoanzisha vagi kwa wateja waliokuwepo katika ukumbi wa burudani pale Slipway akamjeruhi mmoja wa wateja kwa kumbonda kwa tray la kubebea bia. Mara nyingi masta wamekuwa wakijisahau na kujiona kwamba wao ni 1/2 miungu hivyo wawapo mahala fulani wanataka kuwa high-marked kuwa wapo, wakiona jamii inajifanya haiwaoni basi wana toa mapembe yao. Hata hivyo pole TID (Mzee wa Zeze) Msalimie Mzee Nguza na vijana wake.
 
Hii mada iko kwanye forum ya burudani na inajadiliwa huko huku ni mambo ya sport
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom