Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
....Niliwahi kusoma kwenye gazeti moja kuwa dogo alimtembezea mkono mtu si unajua mastaa wetu wa uswazi!!! akivuma kidogo basi watu hawasemi kitu juu yao acha akaonje joto kidogo huenda adabu itakuja....Breaking news: the famous musician in town TID has been jailed for one year after being convicted on charges of assault.
Belo,
kwani huelewi maana ya assault?
Kama huelewi nisamehe kwa kukupa pole lakini kwa tafsiri yangu ya 'kiingereza cha ugoko' ametiwa hatiani kwa kosa la 'shambulio la mwili' au kudhalilisha.
Hata hivyo hakijaharibika kitu, hapa JF tena!kuna wajuvi wa lugha wamejaa watasaidia kutafsiri hiyo habari kwa lugha mama, lugha adhim ya kiswahili.
breaking News: The Famous Musician In Town Tid Has Been Jailed For One Year After Being Convicted On Charges Of Assault.
Amefungwa jela Mwaka mmoja na Mahakama moja ya Mwanzo Kariakoo baada ya kutiwa hatiani kwa kumshambulia mkazi mmoja wa Dar Khalid Mohamed.