TID Awapa Onyo Azam TV kucheza filamu yake ya Girlfriend. Awadai Millioni 300 kwa kukaidi.

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,919
7,931
tid 1.JPG

Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Tanzania T.I.D a.k.a TOP a.k.a Warioba A.k.A BASATA a.k.a POWER BANK leo kupitia instagram yake amwaga povu kali kiwango cha grisi kutoka kwa Azam TV baada ya kurusha filamu yake ya Girlfriend bila ya kibali maalumu.

Maneno yake yanasomeka kama ifuatavy
  • tidmusic
    Tangazo Tangazo.......Ni Marukufu kwa Azam TV Kuonyesha Filamu ya Girlfriend popote pale bila kunilipa Haki zangu,Sioni Sababu ya kuendelea Kuibiwa Haki Zangu,Nawadai Milioni mia (300) kwa kurusha Filamu hii bila Kunilipa wala Makubaliano ....I hate this kwanini Hamnilipi Haki Zangu!!!
 
View attachment 1029917

Malalamiko mengine inakuwa vigumu kuyaelewa. Si angeweza kuajiri mwanasheria akawaandikia barua anaowadai na kuwapa muda wa kumlipa hayo mamilioni la sivyo anawaburuza mahakamani. Kule kuandika kwenye instagram kwamba ni marufuku kuonyesha filamu yake ndiyo kutawafanya wadaiwa wake wamlipe?
 
View attachment 1029917

Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Tanzania T.I.D a.k.a TOP a.k.a Warioba A.k.A BASATA a.k.a POWER BANK leo kupitia instagram yake amwaga povu kali kiwango cha grisi kutoka kwa Azam TV baada ya kurusha filamu yake ya Girlfriend bila ya kibali maalumu.

Maneno yake yanasomeka kama ifuatavy
  • tidmusic
    Tangazo Tangazo.......Ni Marukufu kwa Azam TV Kuonyesha Filamu ya Girlfriend popote pale bila kunilipa Haki zangu,Sioni Sababu ya kuendelea Kuibiwa Haki Zangu,Nawadai Milioni mia (300) kwa kurusha Filamu hii bila Kunilipa wala Makubaliano ....I hate this kwanini Hamnilipi Haki Zangu!!!
Stressed Man.....sorry for him!!
 
Back
Top Bottom