TID aiomba serikali imnunulie vyombo vya muziki apambane na watumia madawa

Aseme tu ajiinue kiuchumi sio kupambana na dawa za kulevya.. Huo ni uongo wa kiwango cha kiwonder
 
Amesema vyombo vya band yake vya awali alivinunua kwa shilingi milioni 18 lakini kwa sasa hana uwezo. Hivyo anamuomba mtu yeyote mwenye mapenzi mema ikiwemo serikali waweze kumsaidia.

Amesema atatumia vyombo hivyo kupambana na vita ya utumiaji madawa ya kulevya akilenga kuielimisha jamii kupitia muziki.

Source Mahojiano mubashara TBC tv
alimwona mwanamziki yupi hapa ulimwenguni alieshinda vita ya madawa a kulevya kwa kutumia muziki?
 
Amesema vyombo vya band yake vya awali alivinunua kwa shilingi milioni 18 lakini kwa sasa hana uwezo. Hivyo anamuomba mtu yeyote mwenye mapenzi mema ikiwemo serikali waweze kumsaidia.

Amesema atatumia vyombo hivyo kupambana na vita ya utumiaji madawa ya kulevya akilenga kuielimisha jamii kupitia muziki.

Source Mahojiano mubashara TBC tv
Kwisha habar yake Jeur yote ile
 
Yan uzuri wa pesa ni kama dhahabu tu once you get ukizichezea tu hutapata tena unakuwa na stress kama huyu jamaa
 
alivyokua anachezea pesa kipindi kile alidhani siku zote atakua nazo? angewekeza sasa hivi hata mil 100 isingekua tatizo kwake
 
Tunge Acha Kubeza, Tid yupo serious na kwa dhati anataka kurudi kwenye game, tumpe moyo na tumuombe malengo yake yatimie. Nimesikiliza Kwa Makini, Ana Sauti Ana Target na ana focus. keep it up brother.
alipata pesa sn huyu kijana alizichezea ni bora wasaidiwe wengine
 
Hii vita kweli haijawahi kumuacha mtu salama, hata Matonya angekuwa hai leo angelaumu serikali kutozuia madawa yeye akawa ombaomba.
 
Back
Top Bottom