Ticket za Usafiri wa Train kukatwa kwa Utambulisho wa S/mitaa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ticket za Usafiri wa Train kukatwa kwa Utambulisho wa S/mitaa...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by zubedayo_mchuzi, Jul 17, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Leo Nimepita Ofisi ya Shirika la Reli ya kati na kukuta kitangazo cha Maka pen nyekundu,kuwa Wale wote wanaoenda kukata ticketi waende na utambulisho wa vitu vifuatavyo....
  1.Barua kutoka serikali ya mtaa,kijiji.
  2.kitambulisho cha kupigia Kura/leseni.
  3.Hati ya kusafiria.
  Bila hvyo hupati ticketi wasukuma,wakigoma mpo hapo.

  Nlipouliza sababu hyo mmoja wafanyakazi alijibu ni kutaka kuwabaini wakimbizi.

  Nimeshndwa kuweka picha ya tangazo lao natumia simu,Invisibo anipe msaada wa kuziwe hapa zipo 3.
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,312
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  Kwani wao UHAMIAJI,NIDA nadhani wanatapatapa pia kuingilia majukumu ya watu tu,nchi ya ujanjaunja naona nafasi ya kuwapiga jambajamba wananchi imewadia.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Ni mbinu nzuri ya kupunguza watembeaji nchi hii bila utaratibu
   
 4. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Du! Hii sasa ndio yenyewe. Hapa ukitaka kusafiri lazima uage mtaani kwenu, vinginevyo hupati ticketi. Vipi kuhusu wanaosafiri kwa kutumia mabasi na magari binafsi? au jamaa wanakaba hadi Ubungo pale?
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Aisee nahisi wapo kwenye mchakato,wakianza na ubungo duuh
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ndio kwanza leo nisikie usafiri wa ndani ya nchi kuhitaji kibali cha serikali. Hivi sie Watanzania wazima kweli?

  Kwa nini tunazidi kuongezeana adha kwenye maisha yetu ya kila siku?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Ccm bwana, walikuwa wapi siku zote ku implement mbinu hizo kuwabaini wahamiaji haramu?
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kazi ipo
   
Loading...