TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Watanzania tustuke, kinchi kama RWANDA kimejipambanua na sasa kinavutia waekezaji walio timamu kuwekeza huko. Nilitembelea wakati fulani sikuona wachina wakijimwaga mwaga kama hapa kwetu.
 
Bado hujaenda Zanzibar ukakuta mgongano wa Zanzibar Revenue Board (ZRB) na Tanzania Revenue Authority (TRA). Niliwahi kamatwa Pemba kwa kuendesha gari na leseni iliyotolewa na TRA bila kwenda ZRB kujisajili na kulipia tena.
 
Ivi vyeti feki vimegusa na zanzibar maana na yenyewe si inaongozwa na raisi wa URT
vyeti feki vimeonyesha namna taasisi hizi zilivyoajiri vilaza
 
Similar Discussions

25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom