TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

tufike mahala serikali ipunguze hizi gharama za kuwa taaasisi lukuki za kufyonza pesa za mlipa kodi na tija ikiwa ndogo mno
Ahahaa.. na bado pia tuna waongezea na mahakama ya mafisadi ilihali mahakama kuu ipo na mahakama zingine za makosa ya jinai.

Hiyo ndio tanzania kma utaki hama nchi...

*winks*
 
Kuna vyeo/nafasi za ajira Serikali Kuu na Serikali za Mitaa huwa nashindwa kuona tofauti ya majukumu yao mf.
-Katibu/Afisa Tarafa
-Afisa Mtendaji wa Kata
-Afisa Maendeleo ya Jamii

Naomba tupewe job descriptions za hawa Maafisa wa Serikali ili tufahamu pia ikiwezekana tuishauri Sirikali yetu kujipanga upya
 
1. Bodi ya Uhifadhi wa Bahari na Maeneo Tengefu,
2. Bodi ya Leseni za Maghala Tanzania,
3. Tume ya Ushirika
4. Bodi ya Maziwa Tanzania
5. Mfuko wa Deni la Taifa
 
Na hawa jamaa huwa hawakosi mgao wa MASHANGINGI full raha kuajiriwa taasisi hizi hakuna kazi ni kupiga stori tu na kusubir safari
 
Kiukweli sekta ya umma kwa sasa inatakiwa kufanyiwa overhaul...mishirika/taasisi kibao ufanisi mdogo, nilisoma humu kuna mpaka BODI YA MAZIWA!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom