TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Jamani kuwa na taasisi nyingi siyo jambo baya. Kwanza inaleta ufanisi na pili inaongeza ajira. Baba zenu, kaka na dada zenu, wadogo zenu n.k wanafanya kazi huko. Kama zisingekuwepo wangepata kazi wapi? Pili kazi ya serikali siyo kupunguza matumizi. Sasa ipunguze matumizi ili iweje. Kazi ya serikali ni kuhakikisha pia wananchi wake wabapata kipato cha kuspend ili mzunguko wa fedha uendelee na maisha yaendelee. Serikali leo ikisema inaelekeza fedha zote kwenye muradi ya elimu na afya tu watu kibao wataathirika hata waliojiajiri na walioko kwenye private sector

huoni hii inaleta usumbufu zaid kwetu wawekezaji au
 
Nani kakwambia?
 
Mbona ya kawaida tu hayo Wakuu. Hebu geuzieni macho kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii: PSPF, GEPF, PPF, LAPF, NSSF na mwingine nimeusahau .... Juu ya wote hao kuna "Mama yao Mlezi" SSRA!

N.b: Huko Nchi jirani ya Zanzibar hakuna ka-Mfuko ka Hifadhi ka Jamii kengine kanakopiga mihela vilevile kama hawa Dada zake hapo juu?
Mifuko ya pensheni imeshaunganishwa. Sasa ni kazi tu
 
Nimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia
1. Tanzania Investment Centre (TIC) vs EPZA vs BRELA,
2.Tanzania Tourist Board (TTB) Vs TANTRADE,
3. Tanzania Employment Services Agency (TaESA) vs Public Service Recruitment Secretariat
Nyingi ya hizi taasisi zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza zipunguzwe katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.

** TUPUNGUZE STRESS kidogo kidogo;

Halafu waangalie waliokabidhiwa dhamana kuviendesha wanene utafikiri funza kwenye choo cha shimo, output ziro, kila siku sherehe za ufunguzi wako mstari wa mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom