TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Hivi SIDO wanashindwa nn kuunda ndege hapa hapa nchini? Hata zile NOAH si bora ziundwe humu humu nchini tuokoe mamilioni?
 
Mimi sio mwajiriwa wa serikali, lkn ktk uzi huu itabidi nitafute muda nichangie, kunavitu vingi watu hawavifahamu sema tulaumu bila kujua, ni vizuri kutafiti kabla ya kulaumu. Naja
 
Dar es Salaam Institute of Technology, Arusha Techinical College, National Institute of Transport, Mbeya Tech (sijui sasa inaitwaje) nazo hizi zinafanya kazi inayofanana zingefanywa taasisi moja
Dah we kiazi kweli yani...kwahiyo unamaanisha vyuo vngne vifungwe tubak na ud maana ndio vinafanya kazi moja
 
Tuonee huruma pesa za walipa kodi jamani. Pesa hizo zingeweza kufanyia vitu vingine vya maana
 
Kila taasis ina focus area yake waliziunda Sio wapuuzi Kama wewe.
Mkuu, jamaa anahoja ya maana sana, hizi taasisi kuwa nyingi kunaleta usubufu mkubwa sana, hata Mh Rais, analijua hili, na kuna siku hadi akawa anatania "OSHA sijua wanaosha nin" so ni suala la mda tu, hizi taasisi zitaunganishwa na kuwa chache, kwa ajiri ya kuongeza ufanisi zaid.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom