Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,405
Sekta binafsi bado changa. Nadhani ni wakati muafaka ijengewe mazingira wezeshi iweeze kuzalisha ajira,huduma na kodi
Ivi vyeti feki vimegusa na zanzibar maana na yenyewe si inaongozwa na raisi wa URTBado hujaenda Zanzibar ukakuta mgongano wa Zanzibar Revenue Board (ZRB) na Tanzania Revenue Authority (TRA). Niliwahi kamatwa Pemba kwa kuendesha gari na leseni iliyotolewa na TRA bila kwenda ZRB kujisajili na kulipia tena.
vyeti feki vimeonyesha namna taasisi hizi zilivyoajiri vilaza
Lowassa ana mamlaka gani mpaka avunje?Lowassa 2015 vunja huu upuuzi!
TBA na NHC
TCCIA ni taasisi ya serikal? Ndo nasikia leo toka kwako.Umesahau na TCCIA na wao wanafanya registration ya kampuni