TIC na BRELA kuna coordination kweli? Naomba Mama Mary Nagu ulitazame

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Ni Ngumu sana kwa Watanzania kujiajiri kutokana na ukiritimba(bureaucrazy) ya Serikali na vyombo vyake.

Wafanyakazi wengi wa serikali hasa katika Brela ni shida katika kuwezesha watu kufungua makampuni.

Hawa wafanyakazi wa Serikali (hasa Brela) wanaangalia zaidi chochote utakachompa ndo usajili wako ukamilike.

Siwalaumu sana wafanyakazi wa Brela ama Serikali, TATIZO ni mishahara midogo sana isiyokidhi mahitaji ya maisha . Hii ni sehemu nyeti (uwekezaji) ambapo serikali itakuja kupata kodi, hivyo Wafanyakazi wa BRELA walipwe Mshahara mzuri kama TRA.

Ieleweke Kuwa: Mtu anafungua Kampuni ajiajiri, afanye biashara ama miradi ili apate Pesa. Na sio kwamba mtu anafungua Kampuni kwa sababu anapesa.

Huyu Waziri wa UWekezaji na Uwezeshaji (Mama Mary Nagu) aangalie hili ili Wazawa wawezeshwe na tatizo la ajira lipungue. Vijana wengi sana wana idea lakini wanavyokatishwa tamaa, ni sheeda.

Kwa kweli Mama Mary Nagu wewe ni kati ya Mawaziri unaejitahidi... Naomba uangalie hili katika TIC na BRELA.
 
Usikurupuke mtoa mada. Unaweza ukawa unahoja ila unashindwa kuiwasilisha kwa vile una kiwewe. Kaipange uje upya! Otherwise endelea kusoma za wenzio kwani lazima upost?
 
Stuxnet Una Kichwa kigumu sana kuelewa. Tulia usome ama omba wenzako hapo wakueleweshe.

Tatizo lako unataka kubisha ila unashindwa kutoa hoja ya kubisha
 
TIC na Brela wanazuia wawekezaji wengi sana..

TIC na Brela pia inatakiwa wawe na coordination na wizara nyingine

Wafanyakazi wa TIC na Brela inatakiwa walipwe vizuri ili wasiwe na tamaa ya Rushwa.... Ni kweli binadamu ana mahitaji muhimu na pia ana matamanio fulani katk maisha.
 
hili ni jipu na wanatuchelewesha na urasimu
Tangu lini ku search for simple info watu wakafanya registration? wanataka namba za sim, majina na verification ndio naweza kusearch business name online

Imagine google wakwambie kuwa kabla hujafanya search lazima uweke namba zako za sim majina yako nk ndio utaweza kufanya business name search...ontop unalipishwa elf 20

ningekuwa na register kampuni au nafanya returns au nabadili jina la kampuni I would have understood the concept of registration na kuweka personal details zangu

MFANO HUU HAPA CHINI NIMEINGIA KWENYE WEBSITE YA SEC YA USA AMBAYO UNAWEZA KU SEARCH MAJINA YA KAMPUNI ZOZOTE BILA KUAMBIWA UWEKE PRIVATE INFO

USHAHIDI HUUU HAPA:

http://www.sec.gov/edgar/searchedgar/companysearch.html
 
TIC na Brela wanazuia wawekezaji wengi sana..

TIC na Brela pia inatakiwa wawe na coordination na wizara nyingine

Wafanyakazi wa TIC na Brela inatakiwa walipwe vizuri ili wasiwe na tamaa ya Rushwa.... Ni kweli binadamu ana mahitaji muhimu na pia ana matamanio fulani katk maisha.
uhuni tutu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom