Tibuni majeraha ya uchaguzi...jk!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
Umemsikia jk anasema vyombo vya habari vitibu majeraha ya uchaguzi!yeye hajatibu majeraha ya mtandao ya mwaka 2005 na ameongezea mengine,sisi majeraha yetu tutatibu uchaguzi serikali za mitaa na tutapona mwaka 2015!
 
tukitibu majeraha ya uchaguzi ni kukausha vidonda vyetu, dawa ni kuviacha vibichi ili come 2015 tukumbuke aliyetutenda na jitahada zaidi za kuchukua kuhakikisha hawaturdi tena
 
Back
Top Bottom