TIBAIJUKA na bustani ya jiji

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Nasikia huyu dada waziri wa ardhi eti anataka kukugeuza eneo la Jangwani iwe ni bustani kubwa ya jiji la Dar es salaam.

Hivi itawezekana kweli au anataka kututia changa la macho tu ?
 
Huyu dada mbona anapoteZa mwelekeo!!! Atatue matatizo ya ardhi yaliyopo kwanza sio creation ya miradi mipya. Kubwa ni uvamizi wa viwanja vya wazi na rushwa ya watendaji wa ardhi hasa kwenye viwanja. aache miradi mipya.
 
Kwani hujui kuwa hata jangwani ni eneo lilotakiwa kuwa la wazi
 
Afanye kazi , aache kuuza sura kwenye vyombo vya habari. ndio ushauri wangu kwake.
 
Back
Top Bottom