Kinaeleweka
Senior Member
- Nov 10, 2014
- 145
- 104
Only in Tz: Sakata la umeme lamuondoa waziri wa ardhi wakati waziri wa umeme (nishati) anabaki salama... Labda kwa vile mitambo ya IPTL imefungwa ardhin
Hahaaa! Mkuu Umesomeka vema.Ni kweli kabisa haiingii akilini.
Tezi Dume hakutaka kumtoa mtu ila alijikuta tu anatamka baada ya kuona reactions za wazee waliohudhuria mkutano