gelevahekejr
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 120
- 15
Mlonge hii ni dawa ambayo naiamini sana hasa Kwa matatizo yote
Mlonge hii ni dawa ambayo naiamini sana hasa Kwa matatizo yote
Mlonge hii ni dawa ambayo naiamini sana hasa Kwa matatizo yote
Ivi unataka kuniambia hiyo mimea inatumika yenyewe tu bila uwepo wa nguvu yoyote ya kiza?
Karibia magonjwa yote yanatibika na mimea na mboga mboga za nyumbani bila ushirikina na ukapona.... kwani majani ya mpera unatambikia mpk unywe uzuie kuharisha..?
qn of sheba bhana!
Dawa zitumikazo kuponya watu usitake kulinganisha na hiyo mimea ya kuzuia mvua!
Kuna kitu kinaitwa 'connection', Ukiugua, hata kama unadawa millioni 100 hauwezi kupona unless unywe or ule hizo dawa! Kitendo cha wewe kula/kupakaa (hata kunusa) itapelekea unyonywaji wa dawa kwenda sehemu iliyokusudiwa! Hiyo connection baina ya wewe mgonjwa + dawa + eneo husika (unapoumwa)!
Embu nipe connection ya mimea utakayotengeneza huku chini na kuzuia mvua iliyoko juu.
Najua watu wanauwezo wa kuzuia mvua. Issue ni kwamba hawatumii mimea pekeyake ili kufanikisha hilo!
...
Sidhani kama tunaelewana hapa!
Ok hapo kwenye mvua nitaamini kunaushirikina ila kutibu magonjwa mengine kama ini.. tumbo... jipu n.k hayo magonjwa yanatibika tu kwa mitishamba au matunda na mboga bila hata matambiko yoyote
Step by step najaribu kukuquote inagoma nakushauri tafuta dawa za kimasai zitakusaidia sana