itearz
Member
- Jan 10, 2015
- 80
- 91
Habari kaka, naona Habbat Sawda na Mdalasini vyote kama vinaenda sawa na Asali, kwako kipi ni the best unachorecommend? Kwa upande wangu napenda sana mchanganyiko kama ni Unga tu nichanganye na Asali nilambe au kula basi, ikishakuwa kuchemsha sijui kupasha moto napataga shida. Nina tabia ya Kula kijiko cha asali kila nikiamka na nikitaka kulala, nimejikuta tu napendelea kufanya ivyo bila kujua nnachokitibu haswa! Now nataka add btn Mdalasini na Habbat Sawda Natanguliza ShukraniNitafute Kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Sent using Jamii Forums mobile app