Mzizi mkavu mie naomba mimea inayozalisha mbegu za kiume asante!habbat sawdaa, kwa kiswahili inaitwa hivyo hivyo habbat sawdaa,
Nitafute Kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuMzizi mkavu mie naomba mimea inayozalisha mbegu za kiume asante!
ShukraniNitafute Kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Mzizi naomba kujua dawa ya chango kwa wanaume,,mume wangu analo chango and inamsababishia anakosa nguvu za kiume na anakuwa na low sperm countNitafute Kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Daah safi sana. Hilo bomu ni nomaa mzeewakuu nimekunywa chai ya mdarasini nimechanganya na vijiko 2 vya asali kama lisaa limoja hivi
sasa hivi nimemeza tena vituu swaumu kama vipunje kumi hivi
bac domo lote limechafuka
utaratibu huu ndo nimeuanza leo
Habari namba 6 naomba kufahamu mimea inayoongeza nguvu za kiume au inayofanya mwanaume achelewe kufika kileleniTuko si ushirikina huo? embu tupe somo hapo!
Inapatikanaje hiyoMimea / dawa zinazoongeza nguvu za kiume kwa upande wa miti shamba ni mingi mnoo ikiwemo:-
1: Udishe
2: Lub'ungwa
3: Kisenganyika
4: Mwatya
5: Mkolomije...
Na mimea mingine ipo mingi sanaaa
kama bado unahitaji habbat soda njo inbox. inapatikana.Ahsanteni sana kwa taarifa na elimu nzuri kuhusu Habbat Sawdaa! Je hapa Tanzania inapatikana wapi?
Kuna dawa inaitwa vumbi la kongo ni balaa hio. Kwa uchache lisaa kiunoni. Kuna jamaa anauza ni pm nikupe namba ukachukue anakaa tabataHabari namba 6 naomba kufahamu mimea inayoongeza nguvu za kiume au inayofanya mwanaume achelewe kufika kileleni
Hii #5 Mkolomije ndio imeharibu kila kitu.Mimea / dawa zinazoongeza nguvu za kiume kwa upande wa miti shamba ni mingi mnoo ikiwemo:-
1: Udishe
2: Lub'ungwa
3: Kisenganyika
4: Mwatya
5: Mkolomije...
Na mimea mingine ipo mingi sanaaa
Hiyo vumbi la kongo c yakupakaKuna dawa inaitwa vumbi la kongo ni balaa hio. Kwa uchache lisaa kiunoni. Kuna jamaa anauza ni pm nikupe namba ukachukue anakaa tabata