Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

naombeni kuhusu tiba ya asili ya chronic uti kwa sababu nina ndugu yangu inamsumbua sana mwezi wa pili huu haishi
 
naombeni kuhusu tiba ya asili ya chronic uti kwa sababu nina ndugu yangu inamsumbua sana mwezi wa pili huu haishi

Upo mkoa gani kuna mama mmoja amenitibu singida ni balaa kwa sh.150,000 .hakika utapona
 
Sasa kama maumwa jino nikidondoshea asali na mdalasini naenda kulala au nasubiri kidogo niswaki??? Naomba mnijibu maana Mimi ni mhanga wa hili, pia mwanangu wa miaka 10 anapasuka meno ila hayaumi nini dawa yake!?
 
Msaada tafadhari ndugu yangu anaumwa kichwa sana........kila Mara na imechukua miaka kadhaa na amejaridi kwa baadi ya madaktari na hakupata nafuu.....nahitaji msaada kwa anayejua dawa asilia ya kuumwa kichwa kisichopona
 
Back
Top Bottom