Naomba ushauri wa kupata tiba ya ugonjwa huo wa kukauka maji ktk nyonga kwani ni tatizo kubwa lililompata jamaa tangu japo anapata tiba bugando lakini naona kama haisaidiii kabisa licha ya kuwa amekuwa alitibiwa kwa kupewa vidonge kwa muda sasa
Asante
Asante