Tiba ya mke kutohisi raha ya tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba ya mke kutohisi raha ya tendo la ndoa

Discussion in 'JF Doctor' started by mshihiri, Nov 26, 2011.

 1. mshihiri

  mshihiri Senior Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  BAADHI YA WANAWAKE HUHISI MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU WENGINE KUTOHISI RAHA KABISA AU KUTOTOKA UTE AU KUCHELEWA KUTOKA UTE AU KUTOFIKA KILELENI WOTE WATATIBIWA KWA DAWA HII

  a)maziwa ya ngombe glasi moja
  b)vijiko vitatu vya asali safi
  c)mayai mabichi ya kuku wa kienyeji
  changanya na ukoroge kisha kunywa kila siku asubuhi kabla hujala kitu na wakati wa jioni tumia kwa muda wa siku 7 mfululizo
  ​
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mmmhh...... haya
   
 3. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kweli , utakuwa umesaidia wengi kaka
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mmmh...huu mchanyato si wa kawaida...!!:shock:
   
Loading...