lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Tiba ya kumaliza tatizo la nchii hii ni demkrasia ya kweli,demkraskia ya kweli,itazaa utawala wa kuzingatia katiba sheria taratibu,na kanuni tulizojiwekea,demkrasia ya kweli itawaunganisha wapinzani na watawala kuweka mbali tofauti zao za kisiasa,na kudhungumza mambo ya msingi yanayohusu taifa kwa maslay ya taifa,demkrasia ya kweli itazaa maridhiano ya kitaifa,demkrasia ya kweli itazaa katiba mpya,na katiba mpya ikizaliwa inaweza kuondoa mzizi wa fitina ya namna ya bora ya kulinda mali asili zetu kwa maslay ya taifa, kama taifa huru
Demkrasia ya kweli,itawaunganisha watanzania wote pamoja kwa furaha,amani na upendo,mshikamano na umoja,umoja ndio silaa kubwa kuliko zote duniani, demokrasia ya kweli ndio njia pekee ya kuponya vidonda vya watanzania waliojeruhiwa kisiasa ndani ya mioyo yao,tofauti na demkrasia ya kweli, ni kama tunachota maji baharini,na kuyamwaga mtoni,lazima tufike mahali tuone katiba ndio chanzo cha matatizo yote haya,hasa kitendo cha kuwepo kipengele cha kinga ya kutokushitakiwa kwa marais wakiwa madarakani,na wakiwa wametoka madarakani,kivuli cha kinga ya marais kutokushitakiwa ndio kiini cha matatizo yote haya ya wizi wa rasilimali zetu lazima tukitaka kuondoa uchawi wa kutokuibiwa rasilimali zetu tuondoe kinga ya kutokushitakiwa kwa marais wetu
Umoja na mshikamani ndio silaa kubwa sana kwenye vita kuliko kombora lolote lile,swali ni je umoja na mshikamo kwa sasa upo?