Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba ya kigugumizi!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Man Ngosha, May 9, 2012.

 1. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf,
  Kuna mdogo wangu ana tatizo la kigugumizi cha kuongea kiasi kwamba hawezi kuzungumza bila kujipigapiga au kuruka!!Ningependa kujua chanzo cha tatizo hili na pia tiba yake kama ipo!!
  Naomba kuwasilisha!!
   
 2. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Pole mkuu, tuko pamoja hata mimi nafuatilia tataizi hili, nna mtoto ana shida hii pia hebu pitia hapa Stammering Cure
   
 3. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  the way is there any body knows where to get this kind of couse in Tanzania of CD programs of same kind?
   
 4. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu kwa mwanga huu!!nataman hiyo cure centre yao ingekuwa tz ili nimpeleke course ya hizo wiki 2 apone!!hivi unaweza kuwasiliana nao na wakakueleza tiba yake?
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,983
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mpaka achome choki ndo anazungumza
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,599
  Likes Received: 4,157
  Trophy Points: 280
  afanye jaribio hili, kabla ya kuzungumza avute pumzi nyingi ndani na kuihold aongee kifua kikiwa kimejaa oxigen, atoe pumzi anapokuwa amemaliza sentesi, naliwahi kuambiwa kuwa hii ni tiba.
  urudi/mrudi kwa ushuhuda.
   
 7. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  anaweza tibiwa na watu waitwao logopedist (speech therapist)


   
 8. s

  snagnax Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole sana kwa tatzo la mdogo wako....me nlizaliwa na kigugumizi but luckily nlifanyiwa therapy na mzazi wangu ambayo imeniondolea hlo tatzo mpaka kesho.....kwanza elewa kigugumizi kipo associated na woga au hali ya ku panic so ndo maana mtu sometimes anashndwa anashndwa kuongea.....so nakushauri umwambie mdogo wako ajifunze kuongea taratibu(kupunguza speed ya kuongea)na kingine ajijengee confidence ya kutosha...i'm sure it'll work since it worked for me....may god bless and cure your sibling coz i've been through the same road and it was horrible
   
 9. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nakushkuru sana kaka!!hakika nimepata pa kuanzia na nadhan itamsaidia sana,God bless u
   
Loading...