Tiba ya kidonda cha kisukari

George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,567
Points
2,000
Age
25
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,567 2,000
Habari zenu wakuu?
Leo nimeenda kumuangalia Aunt yangu ambaye anasumbuliwa na kisukari,ana hali mbaya sana wakuu!
Ana kidonda kikubwa sana mguuni,usiku hapati usingizi kabisa.
Naombeni maoni yenu wakuu,ni namna gani naweza kumsaidia Aunt yangu?
Anateseka sana wakuu.
Kidonda chake ndio kinanipa wasiwasi sana.
 
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Messages
1,095
Points
2,000
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2018
1,095 2,000
Pole sana mkuu kwa kuuguliwa na Aunt.
Hakuna dawa ya moja kwa moja kitibu kidonda cha kisukari isipokuwa ni kuhakikisha kwamba sukari ya aunt isizd kwenye damu.Na sile kabisa vitu vya sukari.
Kimsingi huwa vinasumbua sana kiasi cha kupelekea kukatwa mguu saa zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
784
Points
1,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
784 1,000
Habari zenu wakuu?
Leo nimeenda kumuangalia Aunt yangu ambaye anasumbuliwa na kisukari,ana hali mbaya sana wakuu!
Ana kidonda kikubwa sana mguuni,usiku hapati usingizi kabisa.
Naombeni maoni yenu wakuu,ni namna gani naweza kumsaidia Aunt yangu?
Anateseka sana wakuu.
Kidonda chake ndio kinanipa wasiwasi sana.
Pole Sana ndugu Mimi dingi yangu alikufa Kwa ugonjwa wa kisukari mwishoni mwa 1997 pia alipataga kidonda kama Hicho mguuni . Kidonda hakikuponaga ingawa alikuwa na mkwanja mrefu Ila Kwa sasa mtu ukiwa na cash unatravel kwenye developed countries kupata tiba Kwa bongo bado technology yetu ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

kilicho

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
1,064
Points
2,000
K

kilicho

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
1,064 2,000
Habari zenu wakuu?
Leo nimeenda kumuangalia Aunt yangu ambaye anasumbuliwa na kisukari,ana hali mbaya sana wakuu!
Ana kidonda kikubwa sana mguuni,usiku hapati usingizi kabisa.
Naombeni maoni yenu wakuu,ni namna gani naweza kumsaidia Aunt yangu?
Anateseka sana wakuu.
Kidonda chake ndio kinanipa wasiwasi sana.
Pole sana kiongozi....hilo tatizo hata baba angu alikuwa nalo,mzee wangu anaumwa kisukari na akapata ajali ya pikpik iliyomsababishia vidonda,kuna muda mguu ulioza wote....
Tiba:1> cha kwanza make sure mnacontrol kisukari kisipande kwakuzingatia lishe nakutumia dawa zakisukari kikamilifu.
2>dressing,hapa jitahidi kila siku kidonda kinasafishwa kwa dawa zakusafishia kidonda nakukifunga kwa dawa maalamu.
3>Anywe dawa za antbiotic ili kuzuia bacteria kwenye kidongo...mkifanya hivyo nimiezi minne or mitano atakuwa keshapona kidonda.
NB: kisukari mkizibiti kisipande zaidi ya 10,na mtakizibiti kwa dawa pamoja na lishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,567
Points
2,000
Age
25
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,567 2,000
Pole sana mkuu kwa kuuguliwa na Aunt.
Hakuna dawa ya moja kwa moja kitibu kidonda cha kisukari isipokuwa ni kuhakikisha kwamba sukari ya aunt isizd kwenye damu.Na sile kabisa vitu vya sukari.
Kimsingi huwa vinasumbua sana kiasi cha kupelekea kukatwa mguu saa zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la kukatwa mguu ndio linalonitisha zaidi Kiongozi.
Alafu usiku hapati usingizi,huu ugonjwa hatari sana mkuu.
 
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,567
Points
2,000
Age
25
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,567 2,000
Pole sana kiongozi....hilo tatizo hata baba angu alikuwa nalo,mzee wangu anaumwa kisukari na akapata ajali ya pikpik iliyomsababishia vidonda,kuna muda mguu ulioza wote....
Tiba:1> cha kwanza make sure mnacontrol kisukari kisipande kwakuzingatia lishe nakutumia dawa zakisukari kikamilifu.
2>dressing,hapa jitahidi kila siku kidonda kinasafishwa kwa dawa zakusafishia kidonda nakukifunga kwa dawa maalamu.
3>Anywe dawa za antbiotic ili kuzuia bacteria kwenye kidongo...mkifanya hivyo nimiezi minne or mitano atakuwa keshapona kidonda.
NB: kisukari mkizibiti kisipande zaidi ya 10,na mtakizibiti kwa dawa pamoja na lishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Kiongozi.
Nitazingatia ushauri wako.
Unajua hakuna kitu kinaumiza kama kwenda kumjulia hali mgonjwa alafu ukajihisi hauna msaada wowote,yaani inaumiza sana aisee.
Natamani sana nimsaidie Aunt yangu.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,149
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,149 2,000
Polene Sana kwa Kuuguza.
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,570
Points
2,000
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,570 2,000
Ajaribu kupaka kwenye kidonda dawa ya macho ile ya mafuta iliyoko kwenye tube kama sikosei ni tetracycline ointment. Kuna mtu ilimsaidia akapona
 
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,567
Points
2,000
Age
25
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,567 2,000
Chakula kizuri kwa wenye sukari kwa hapa kwetu ni ndizi mbichi na mboga mboga. Apime sukari kila baada ya kula, aache pombe kabisa. Azingatie kunywa dawa kama alivyoshauriwa na daktari.
Asante sana,nitafikisha ushauri huu kwa mgonjwa..!
 
M

Mangachini

Member
Joined
Mar 24, 2014
Messages
97
Points
125
M

Mangachini

Member
Joined Mar 24, 2014
97 125
Habari zenu wakuu?
Leo nimeenda kumuangalia Aunt yangu ambaye anasumbuliwa na kisukari,ana hali mbaya sana wakuu!
Ana kidonda kikubwa sana mguuni,usiku hapati usingizi kabisa.
Naombeni maoni yenu wakuu,ni namna gani naweza kumsaidia Aunt yangu?
Anateseka sana wakuu.
Kidonda chake ndio kinanipa wasiwasi sana.
Atumie kirutubisho kilichotengenezwa kwa teknolojia mpya kiitwacho Stemcell(Seli Shina-STC 30), hakika kidonda hicho kitapona, na hutajutia pesa yako. Nitafute kwa namba 0629 057864 nikuelekeze namna ya kuipata. Pia nipm unipe namba yako ya whatsapp nikupe shuhuda za waliopona kabisa. Ni bidhaa inayozalishwa na kiwanda kilichoko Uswisu
 
M

Mangachini

Member
Joined
Mar 24, 2014
Messages
97
Points
125
M

Mangachini

Member
Joined Mar 24, 2014
97 125
Atumie kirutubisho kilichotengenezwa kwa teknolojia mpya kiitwacho Stemcell(Seli Shina-STC 30), hakika kidonda hicho kitapona, na hutajutia pesa yako. Nitafute kwa namba 0629 057864 nikuelekeze namna ya kuipata. Pia nipm unipe namba yako ya whatsapp nikupe shuhuda za waliopona kabisa. Ni bidhaa inayozalishwa na kiwanda kilichoko Uswisu
Sorry ni nchi ya Uswisi
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,244
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,244 2,000
Pole sana kiongozi....hilo tatizo hata baba angu alikuwa nalo,mzee wangu anaumwa kisukari na akapata ajali ya pikpik iliyomsababishia vidonda,kuna muda mguu ulioza wote....
Tiba:1> cha kwanza make sure mnacontrol kisukari kisipande kwakuzingatia lishe nakutumia dawa zakisukari kikamilifu.
2>dressing,hapa jitahidi kila siku kidonda kinasafishwa kwa dawa zakusafishia kidonda nakukifunga kwa dawa maalamu.
3>Anywe dawa za antbiotic ili kuzuia bacteria kwenye kidongo...mkifanya hivyo nimiezi minne or mitano atakuwa keshapona kidonda.
NB: kisukari mkizibiti kisipande zaidi ya 10,na mtakizibiti kwa dawa pamoja na lishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
unaelewa mkuu, nakupongeza kwa hiyo, wakiweza kuzuia sukari isiwe nyingi mwilini mgonjwa anapona pasipo shaka yoyote ila ikipanda kwa muda inakichakaza kidonda na inakifanya kisiweze kupona kabisa,
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,244
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,244 2,000
mkuu pole sana kwa kuuguliwa, ila nikutoe wasiwasi na nikwambie mzee wako atapona kidonda na atakuwa poa kabisa, fanya haya mzee wetu atakuwa salama
Zingatia lishe ambayo haitapandisha sukari yake kabisa ambavyo ni vyaakula vya proten, mafuta, matunda ambayo hayana sukari, najua unaweza uliza ni yapi hayo ni parachichi na matango na mengine kulinganan na maeneo yakuzungukayo, mboga za majani, pia na maji mazuri kwa kunywa,
Vitu vya kuepuka na kukimbia ni sukari yoyote hata ka ni asali maana hata ukila asali ukipima unakuta sukari imepanda alafu tukumbuke kinacholeta shida si aina ya sukari bali ni sukari hairekebishwi na kuingia kiasi kile kitakikanacho bali inaingia yote mwilini kitu ambaco kinapandisha sukari kufika sehemu inatishia uhai,

mkuu elimu hii ni pana sana ila ukipata kuifahamu hakika itamsaidia sana mzee, ukizingatia lishe ambayo itafanya sukari iwe chini kiasi kitakikanacho mgonjwa akitumia dawa za vidonda ipasavyo ataponaa kama wagonjwa wengine,
Kama kunamengine tunaweza kusaidiana maana mie pia ninamgonjwa wa sukari
 
B

boga la kiangazi

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
194
Points
250
B

boga la kiangazi

Senior Member
Joined Jul 28, 2018
194 250
inaumiza sana mkuu.kuna ndugu yangu alikua na kidonda wakamkata mguu lkn kikahamia kwingine na ndicho kilichopelekea ndugu yetu kututoka
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,244
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,244 2,000
mie namie nilikuwa na ndugu yangu kakatwa vidole ila haikupita week wamemkata mguu, tatizo ni elimu na utekelezaji wake, tumekaririshwa ugali tonge, tunda robo, asali, ugali dona, mtama na uwele kumbe tunaangamia tuuuu
 
S Sulayman

S Sulayman

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Messages
235
Points
250
S Sulayman

S Sulayman

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2018
235 250
*UFAHAMU UGONJWA WA KISUKARI NA TIBA YAKE* .
www.sangidaherbal.blogspot.com

Ugonjwa wa kisukari (Diabetes Mellitus) hutokea pale tezi kongosho (pancrease) inaposhindwa kutengeneza homoni au kichocheo aina ya Insulin, au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho cha insulin na kusababisha kuongezeka kiwango cha sukari kwenye damu (hyperglycemia).
Insulin ni kichocheo au homoni inayotengenezwa na kongosho ili kudhibiti kiwango cha sukari.
Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa kuwa na kiwango kidogo cha Insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili. Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula kinavyovunjwa vunjwa na kutumiwa na mwili ili kuzalisha nguvu.
Wakati chakula kinapoyeyushwa matukio kadhaa hutokea.

1.Tukio la kwanza ni sukari inayoitwa glucose ambayo ni chanzo cha nguvu mwilini huingia katika damu.
2.Tukio la pili ni kiungo kinachoitwa kongosho (pancrease) kutengeneza kichocheo cha Insulin. Kazi ya Insulin ni kuondoa glucosei katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumiwa kama nishati.
Watu wenye ugonjwa wa kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu.
Hii ni kutokana sababu zifuatazo.

1.Kongosho kutokuwa na uwezo wa kutengeneza insulin ya kutosha, au--->
2.Seli za mwili haziathiriwi na insulin kama inavyotakiwa ama sababu zote hizo mbili.

AINA ZA KISUKARI
KISUKARI AINA YA KWANZA(TYPE 1 DIABETES MELLITUS)

Hii ni aina ya kisukari inayowaathiri zaidi watoto na vijana. Aina hii hutokea iwapo seli maalumu zinazotengeneza homoni ya insulin zinapokosekana katika tezi kongosho au zinapoharibika kutokana na sababu yeyote ile, na hivyo kusababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo hicho kwenye damu.
Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi kongosho ni pamoja na kushambuliwa tezi kongosho kunakoweza kufanywa na magonjwa ya kinga ya mwili ya mtu mwenyewe au autoimmune diseases, au kushambuliwa na vyanzo visivyojulikana.

KISUKARI AINA YA PILI (TYPE 2 DIABETES MELLITUS)
Hii ni aina ya kisukari inayotokea zaidi ukubwani. Aina hii ya kisukari husababishwa na kupungua utendaji kazi wa homoni ya insulin, au seli kushindwa kutumia insulin ipasavyo.
Hali hii mara nyingi husababishwa na unene uliopitiliza yaani obesity, au hali ya kutoushughulisha mwili kabisa (physical inactivity).
Kwa vile, katika aina hii ya kisukari, insulin huzalishwa kwa kiwango cha kutosha isipokuwa tatizo lipo kwenye ufanisi na utendaji kazi wake,

KISUKARI CHA UJAUZITO (GESTATIONAL DIABETES MELLITUS)
Ni aina ya kisukari kinachotokea pindi kunapokuwa na ongezeko la kiwango cha sukari katika damu (hyperglycemia) wakati wa ujauzito. Aina hii ya kisukari huathiri karibu asilimia 2 hadi 5 ya mama wajawazito wote ingawa wengi wao hupata nafuu na kupona kabisa mara tu baada ya kujifungua.
Hata hivyo karibu asilimia 20 mpaka 50 ya mama wajawazito wanaopata aina hii ya kisukari huweza kuendelea kuwa na ugonjwa huo hata baada ya ujauzito na hatimaye kuwa na aina ya pili ya kisukari.

SABABU ZA KISUKARI

Sababu za kisukari hutofautiana kulingana na aina ya ugonjwa huo.
Aina ya kwanza ya kisukari ina uhusiano mkubwa sana na kurithi. Aidha aina hii pia husababishwa na maambukizi virusi kama vile Coxsackie virus type B4.
Visababishi vingine ni pamoja na sumu inayotokana na kemikali za baadhi ya vyakula (food borne chemical toxins), na kwa baadhi ya watoto wachanga maziwa ya ng'ombe yanaweza kuchochea kinga ya mwili wa mtoto uushambulie mwili wenyewe na hivyo kusababisha uharibifu katika tezi kongosho.

Aina ya pili ya kisukari kwa ujumla husababishwa zaidi na jinsi mtu anavyoishi na pia matatizo ya kijeneteki. Aidha kuongezeka uzito na unene kupita kiasi (obesity).

Sababu nyingine ni pamoja na kuongezeka umri, maisha ya kivivu na kutofanya mazoezi na pia ugonjwa wa tezi kongosho (pancreatitis) ambao hufanya insulin inayozalishwa kuwa na ufanisi mbovu au ya kiwango cha chini.

DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI
Kukojoa mara kwa mara
Kuhisi kiu kali na kunywa maji kwa kiwango cha kupitiliza (polydipsia).
Kuhisi njaa na kula mara kwa mara (polyphagia).
Kuchoka haraka
Kupungua uzito
Vipele mwilini (diabetic dermadromes).
Kutoa harufu ya acetone inayofanana na harufu ya pombe.
kuhisi maumivu ya tumbo na kupoteza fahamu

Na wagonjwa wa kisukari pia huwa katika hatari ya kupata maambukizi katika kibofu cha mkojo, ngozi na kwa wanawake sehemu za siri.
Baada ya mtu kuwa na dalili za ugonjwa wa kisukari matibabu huanza baada ya kufanyiwa vipimo na kuthibitisha kwamba kweli ana ugonjwa huo.

Chini ya 5.6 mmol/l au 100 mg/dl: Sukari kwenye damu yako ni sawa.
Zaidi ya 5.6 mmol/l au 100 mg/dl lakini chini ya 6.9 mmol/l au 125 mg/dl: Hii ni ishara ya tahadhari-unapaswa kufanya mabadiliko katika maisha yako sasa ili kupunguza hatari ya kupata kisukari. Kama matokeo yamekaribia kiwango cha juu, ni muhimu hasa kufanya juhudi za ziada za ulaji wenye afya, na kupata mazoezi au kujishughulisha.

Zaidi ya 6.9 mmol/l au 125 mg/dl: Una kisukari na unahitaji matibabu. Kadri kiwango kinavyopanda, ndivyo kuongezeka kwa hatari ya dharura kutokana na kiwango cha sukari kwenye damu kuzidi kupita kiasi, au matatizo makubwa ya kiafya

MATIBABU YA KISUKARI KWA DAWA ASILI

www.sangidaherbal.blogspot.com
Ni dawa mujarabu sanaa na zinaponesha kabisa kisukari in shaa Allah.

1. ALMUNIYRU
Hii ni dawa iliyotengenezwa kwa kutumia miti shamba na ni nzuri kwa aina zote za kisukari

Ili kuzipata dawa hizi , pia ukihitaji ushauri na tiba ya maradhi mbalimbali wasiliana nasi

+255 655 821 550

Sulayman Sangida----- Dar es Salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S Sulayman

S Sulayman

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Messages
235
Points
250
S Sulayman

S Sulayman

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2018
235 250
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA KISUKARI
usinywe soda ya aina yyte na juisi za viwandani
acha chai ya rangi na kahawa
jishughulishe na mazoezi
ongeza unywaji wa maji
tumia chumvi ya mawe katika vyakula vyako
tumia vyakula ambavyo havija kobolewa mfano kama ni ugali tumia Dona na si sembe
Pendelea kula ugali/uji wa mtama mweupe

Kwa ushaur na tiba wasiliana nasi

+255 655 821 550
Sulayman Sangida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,284,028
Members 493,932
Posts 30,810,177
Top