Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Mkuu kwa mtu mzima dozi inakuwaje?Mkuu 1800 Asali iwe asali mbichi safi ya nyki kiwango chake fanya kiwe kama kikombe cha kahawa na kitunguumaji kiwe kimoja tu Kikatekate Kichanganye Kwenye Asali Kiweke Masaa 12 Halafu Tumia Kiasi Kama Kipimo Cha Hospitali. tumia kwa muda wa siku 3 kisha uje hapa utupe maendeleo ya Mwanao yanakwendaje? Give me feedback.
Mkuu NdasheneMbandu nimesha sema Dozi ni kiasi cha hospitali hujuwa Hospitali wanatumia dozi ipi? kutwa mara 3 kila siku Asubuhi,mchana na usiku. kama ni mkubwa kijiko kikubwa kama ni mdogo kijiko kidogo kunywa.Mkuu kwa mtu mzima dozi inakuwaje?
Ubarikiwe na kuongezewa siku zako za kuishi. Nadhani Tiba 2 imekaa njema zaidi. Labda haba soda ni nini na inapatikana wapi?Mkuu NdasheneMbandu MARADHI YA UGONJWA WA PUMU (ASTHMA) KWA WATU WAKUBWA DAWA HII:
Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea: Chagua iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine
TIBA 1:
Tafuta ujazo wa sawa kwa sawa wa Arkisusi,Habbat Soda,Sufa,Tangawizi,Zaatari,Zamda,Darufifil,Karafuu.lila moja gram 25
Twanga madawa hayo kwa pamoja mpaka upate unga wake.Chukua kijiko kimoja cha chai (5ml) cha mchanganyiko huu wa dawa,changanya na kijiko kimoja cha chakula (10ml) cha Asali.
Kunywa dawa hii kutwa mara tatu (1×3) kwa siku (7-11).
TIBA 2:
Changanya kijiko kimoja (5ml) cha mafuta ya Haba Soda na vijiko viwili vya ujazo wa 5ml vya asali.Weka kwenye kikombe cha kahawa (50ml),changanya na maji ya uvugu vugu.Kunywa kiasi hiki kutwa mara tatu (1×3).
Kisha jipake mafuta ya Haba soda kwenye koo,kifua na mgongo.Pia chukua kijiko kimoja (5ml) cha Haba soda uweke ndani ya kikombe au kibakuli chenye maji moto.Uwe unavuta mvuke wake puani asubuhi na jioni. Tumia Dawa kisha uje hapa unipe Feedback.
Mkuu NdasheneMbandu Basi hata kuweka (Like)Ubarikiwe na kuongezewa siku zako za kuishi. Nadhani Tiba 2 imekaa njema zaidi. Labda haba soda ni nini na inapatikana wapi?
Mkuu 1800 Asali iwe asali mbichi safi ya nyki kiwango chake fanya kiwe kama kikombe cha kahawa na kitunguumaji kiwe kimoja tu Kikatekate Kichanganye Kwenye Asali Kiweke Masaa 12 Halafu Tumia Kiasi Kama Kipimo Cha Hospitali. tumia kwa muda wa siku 3 kisha uje hapa utupe maendeleo ya Mwanao yanakwendaje? Give me feedback.
Mkuu niibada kama unaijuwa Dawa toa usingojee mpaka Asali ije hatutaki hizo ngoja ngoja tunatak utoe dawa kama unaijuwa toa hiyo dawa tu.Ploe sana!! kama asali itashindikana tunaomba majibu tukupe dawa mbadala humu
Mkuu 1800 Mpeleke Hospitali akachekiwe na Daktari.Wakuu nashukuru sana kwa ushauri wenu,ila pia naomba msaada juu ya ili,mtoto analia lia mara nyingi na mbaya zaidi akikohoa anatapika!
Mkuu nitakugongea LIKE. Barikiwa sana.Mkuu NdasheneMbandu Basi hata kuweka (Like)
unashindwa? Haba Soda au Habati Sawda kwa jina la Kiingereza inaitwa Nigella seed au Nigella Sativa Seed
inapatikana Kariakoo karibu na Soko kuu La kariakoo Mtaa pemba kwa Wauza Dawa za Kiarabu Waulize
wapemba wanaoishi maeneo hayo ya karibu soko kuu la Kariakoo utapata angalia picha hapo chini uitwange kisha ndio uichekeche ndio uanze kuitumia.........................
Nigella Sativa Seeds
Pole sana kwa kuuguza.Kuna tiba ya pumu nimeipata kwenye rmail yangu na maelezo ni kama ifuatavyo: (nanukuu maelezo yote) DAWA YA PUMUIkiwa una maradhi ya pumu watumie wengine ambao watafaidikaHii ni dawa muhimu kwa uwezo wa Allah kwa wale wenye maradhi ya pumu imevumbuliwa bi Fadhl Allah na muhandis (Engineer) kutoka Sudan ambaye alikuwa na maradhi haya na alikuwa akibanwa na pumu sana ikikaribia kuomba mauti hasa wakati wa kubadilika hali ya hewa. Kuna watu wameshajaribu na imewafaa mmoja alikuwa akipelekwa hospital kutiliwa oxygen na mwingine akitumia inheler na wote wamepona baada ya kutumia dawa hii. Dawa yenyewe ni :Chukuwa karafuu 6 zitowe vicha vyake kisha roweka hizo karafuu katika nusu gilass ya maji usiku kisha unakunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu. Fanya hivyo kwa muda wa siku 15. Sisemi kuwa inampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wa Allah.Usifanye ubahili kuwatumia na watu wengine wapate manufaa.
Asante sana mkuu,itabidi nimpe na tiba hii pia,na hakika kwa majaribio yote haya yatokanayo na michango/mawazo mazuri ya wana JF,basi na kwa uwezo wa Muumba lazima uponyaji utapatikana tu!
Mkuu pole sana ila angalia kwani naona kila dawa unasema aksante sana utmpa mgonjwa angalia sana usije ukachanganya madwa ikawa sugu
Hii pia hata kwa mkubwa? mana nina bi mkubwa wangu amekuwa akisumbuliwa na hili tatizo kwa muda kidogo, ametumia sana dawa za kisasa 9za hospitali) lakini hakuna unafuuMadactory wengi hutoa sababu ya ugonjwa kwa kukisia.Mi mwanangu akiwa na miaka 3 alikua anakohoa sana.Nikaenda kwa mtaalamu wa kifua akasema ni pumu inamsumbua.Aliniandikia dawa mfuko wa Rambo ulijaa.Nilipofika home nikazisoma moja baada ya nyingine then nikazitundika.Nikaenda Dukani nikatafuta dawa ya kikohozi ya maji yenye mchanganyiko wa kupunguza mziho (BENYLIN ya watoto).Baada ya siku tatu akapona kabisa.Baadae nikagundua mtoto anakunywa sana maji ya baridi,then nikapiga marufuku.Kuhusu Nimonia,kuna dawa inaitwa Augment ya UK ni nzuri sana au Clavam