Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Habari Mkuu Mshana Jr . Kwanza natanguliza shukrani , Mimi ni mtu ninayesumbuliwa sana na kusisimkwa sana ubavu wangu wa upande wa kushoto hadi kichwani, midomo kucheza, nimeshahangaika sana kwenye swala la tiba bila mafanikio. Mganga anatibu baada ya wiki au siku 4 tatizo linarudi. Nimefatilia kuogea chumvi ya mawe nimeona imerudisha mvuto, kusisimkwa kunaenda kunapungua japo kwa taratibu, inabakia tu kama nimebandikwa kitu kizito kwenye kifua.
Nahisi hii niliyopigwa ni zongo. Nimeona hapo umezungumzia tena kuhusu dawa ya makata. Pengine hiyo inaweza kunitatulia tatizo langu. Samahani, naomba formula jinsi ya kuitumia hii makata na utaratibu wake.
Pole na hongera mno.. Nashauri usiache kutumia chumvi... Endelea usichoke.. Kuhusu hicho kitu kizito kifuani hilo sio zongo, hapo kuna kitu kingine umebebeshwa, ngoja nione nitapata wapi MAKATA kisha takurudia
 
Yapo maneno ya kilatini ukiyaongezea hapo,hata use na balaa gani linasepa baada ya kuyasema juu ya chumvi hugeuka maji ya upako,(siri) ambayo huponyesha.
Au ukachukuwa chumvi ukachanganya na magadi Fulani upare yapo ukajumlisha na maneno ya lilatini,yaani pepo ondoka yake itakuwa sio ya kawaida,siri za kinabii.
Mkuu Crocodiletooth tupe basi hayo maneno ya kilatini na wengine tujifunze tupate faida kama alivyofanya Mshana Jr kutoa elimu kwa wote
 
Back
Top Bottom