Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Sasa ndio nimeelewa kwa nininmaji ya baraka kabla padri hajayaombea na kuyabariki huwa tunaweka chumvi

Stay home, stay safe
Corona kills
 
Inafaa bila shaka.. Mpe atumie hii sio chemikali
Habari mshana naomba kujua ukiwa ukishainuia unaitia ndani ya maji je unasubiria iyeyuke ndiyo uoge? Au unaweza oga bila kusubiria iyeyuke? Na kama haijayeyuka mwisho ikibakia vipande unaweza achana navyo? Au naweza I brend kwenye Brenda halaf niogee? Naomba kama upo online unijib kesho InshaAllah nianze kazi mana nimechoka sana
 
Kuna nguvu(nishati)zinazotuzunguka sisi binadamu,na jinsi unavyozidi kupata elimu kuhusu hizi nguvu na ndivyo utakavyozidi kujua zaidi athari za nguvu hizi,ziwe nzuri(chanya) au mbaya(hasi).
Nguvu mbaya zinaweza kuathiri mwili, nyumba tunazoishi na hata ofisi tunazofanyia kazi.
Dalili ya nguvu mbaya katika mazingira yetu ni kama zifuatazo,kuumwa kichwa Mara kwa Mara bila kuwepo kwa kisababishi kama magonjwa,maumivu ya tumbo yasioeleweka,uchovu bila kufanya kazi yoyote,kukosa usingizi,kuweweseka-kua na hali ya uoga,kukata tamaa,kuhisi akili haifanyi kazi,kutokufurahia mahusiano,na hata kuchukia sehemu unayoishi au kufanyia kazi bila sababu maalumu.

Jinsi ya kuepukana na hizi nguvu hasi(mbaya) Chukua chumvi zenye punje ndogondogo nyunyuzia juu ya carpet(zulia),sakafu au tailizi,ziache kwa muda wa angalau lisaa limoja,kisha waweza kuifagia.
Chumvi zina asili ya kushangaza iliopo ndani yake ya kunyonya hizo nguvu mbaya zilizopo kwenye icho chumba.
Pia unaweza kuweka chumvi ya mawe(mabonge) mapande makubwamakubwa kwenye kibakuli kidogo na kuweka kwenye pembe(kona) za chumba na kuitoa baada ya masaa machache,njia hii pia huondoa nguvu hasi zilizopo kwenye hicho chumba.
Hii pia inafanya kazi kwa watu badala ya kujinyunyuzia chumvi mwilini,chukua vikombe viwili vya chumvi ya baharini viweke kwenye chombo cha kuogea (ndoo) na kisha oga.
Chumvi ni tiba mbadala ya kiroho kwa ajili ya kuondoa nguvu mbaya(hasi).
Wasalaam
L.a.i.i

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu
 
Laana ina viasili viwili
1. Wazazi.... Hawa wana vinasaba nawe hivyo kuna muunganiko wa kiroho na vinasaba.... Tiba yake ni mzazi kukuondelea yale mabaya aliyokunenea
2. Kuutesa na kuuseta uumbaji hapa pia kuna ishu ya midomo mibaya.. Kuna watu wana nguvu ya kukunenea mabaya na ukaathirika
Ikiwa mzazi kafariki unatatuaje hili?
 
Back
Top Bottom