Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Mkuu mshana jr sijaelewa hapo kutumia siku 7,14, 21. Ni kuwa uogee kwa siku saba in row, then siku kumi na nne, afu then uanze hadi siku 21 separately???

Nilishasikia kuhusu chumvi kuondoa mikosi na kung'arisha nyota. Hata maji ya baraka wanaweka chumvi, so I believe.
Yani formula yake ni ama utumie kwa siku 7 au 14 au 21

Sent using Jamii Forums mobile app
 
this does not work scientifically.

hahaahahaha. bac hakuna shida. mimi mgeni kabisa humu. na mimi nataka nikwambie kitu kimoja
chumvi ni kweri tiba na ni dawa ila tunapokosea kusema unapaswa uwe na imani fulani ndiyo ifanye kazi. mimi najua ukitumia siku7, 14 au 21 kwa utaratibu wa formula fulani itakutibu tu. hizo zingine huwa mbwembwe tu wala azisaidiii kabisa
Kwanza naona umeedit na kuondoa neno rubbish, sasa hebu soma hizi replies zako mbili hone contradiction iliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi huwa natumia chumvi ya mawe kidogo nanuia kuondoa mikosi kisha naweka kwenye maji naoga.hili zoezi nimefanya lakini sio katika mtiririko wa kuhesabu siku labda 7/14/21. Huwa nafanya randoml je ndugu mshana hiyo inaweza niletea shida? Au itakuwa haifanyi kazi?....

Napia nikioga maji niliyoweka chumvi siku mbili au tatu baada ya kuoga huwa nalala usingizi mzito sana iwe mchana au usiku.je hilo ni tatizo? Au ni hali ya kawaida?...
 
Haina shida kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom