Tiba;kutokwa na nyama ya haja kubwa,vidonda vya tumbo na mapunye

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Je unasumbuliwa na mojawapo ya tatizo lililotajwa hapo juu? Tiba imepatikana,haijalishi tatizo ni sugu kiasi gani hakika utapona na imesaidia watu wengi na wewe pia utarudi kutoa ushuhuda jf,
1.kutokwa na nyama ya nyuma-tiba majani ambayo utayatafuna na kubandika sehemu ya haja kubwa na ndani ya siku chache utaona matokeo.
2.vidonda vya tumbo-hii ni unga wa mitishamba unayochanganya na asali na kunywa matokeo yake ni ya haraka kwani unaweza harisha ukungu au damu na hatimaye hupona kabisa
3.mapunye ya kichwania au usoni-hii ni ya maziwa ya mti fulani ambapo hupakwa japo hufanya sehemu yenyewe kutoa majimaji na huwa kidonda hatimaye hopona na kutoweka kabisa. kwa maelezo zaidi waweza Kuwasiliana na mwenye tiba kupitia
simu no; 0715118210
 
Back
Top Bottom