Ooyooo hakuna kitu kizuri duniani kama masilai na unaweza kuwa zarau baba na mama na akina kaka na dada na hata kubadili dini na mwisho kujali sana washikaji au marafiki kwa muda na huyu yupo kitambo sana na wala hataki kubanduka na hujiona kama mfalme wa warabuni mpaka anguke hapo tena basi na mtoto wake huwa mrithit wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.