EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,518
Huyunae ni MWEWE
Ntakua wa kwanza kumpiga risasi za mkun* uMkalinde kaburi la Marehemu vzr Kigogo kasema ATAKUNYAA juu yk
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mama kwa miaka minne atabadilisha nguo pea 2920.
Wewe jamaa acha utani basi, ni kweli kigogo amesema hivyo ???Mkalinde kaburi la Marehemu vzr Kigogo kasema ATAKUNYAA juu yk
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wasukuma mmebakia kuchunguza mama kavaa nini,, mtaweuka inakoendea mazuzu nyieAcheni mchezo bana,
Mama yetu ni mtu smart sana anajua kupangilia nguo sio mchezo ,
Wanawake muige mfano wake sio wengine nguo mnavaa hadi siku kumi, wengine nguo ya sendoff ndio hiyohiyo hadi harusi hapana lazima mjifunze kwa Mama yetu.
Mama anapiga vitu vya kueleweka na wanaomshonea wanampatia acha kabisa, ile ndio haiba ya uongozi sasa.
Yaani mama akisalimia kidogo tu kama kuna kipengele cha maji ya kunywa kabla ya kunywa maji lazima abadilishe nguo.
Mama Uganda alienda kapiga kitu kingine haaa wakati wa kurudi ashabadilisha kabisa haya ndio maneno sasa. Mama kwa miaka minne atabadilisha nguo pea 2920.
ahaha, dikteta kashabakia mavumbi uko ardhiniMkalinde kaburi la Marehemu vzr Kigogo kasema ATAKUNYAA juu yk
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Baba wa TaifaTuwe fair. Hivi kweli SSH mnamuita mama yenu kwa kumpenda au kujipendekeza? Mbona hatukusikia marais waliopita mkiwaita baba zenu? Je akiondoka kwenye ulaji mtaendelea kumuita mama yenu? Janet aliitwa mama kipenzi leo mnamuita mjane wa Jiwe. Kujipendekeza kitu mbaya sana.
Baada ya Hayati Mwl. Nyerere Baba wa Taifa, waliofuata wote walikuwa brothers, ila tu hawakupenda hilo jinaHivi kweli SSH mnamuita mama yenu kwa kumpenda au kujipendekeza? Mbona hatukusikia marais waliopita mkiwaita baba zenu?
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani nimecheka sana, hadi nimetokwa machoziMama siku hizi anavaa vizuri anapendeza mno. Magu alikuwa anamzeesha mama wa watu
Mama siku hizi anavaa vizuri anapendeza mno. Magu alikuwa anamzeesha mama wa watu
Mother Theresa Tena
Akiachana na ule ushungi atapendeza zaidi.