Thubutu: awamu hii hakuna kiongozi wa ccm atakayewaita mawaziri "mizigo"

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
kipindi cha jk tulizoea akina kinana wakiona waziri Fulani hatendi kazi kama ipasavyo walitoka hadharani no kutamka waziwazi kuwa waziri huyo ni mzigo.

awamu hii kuna mawaziri wengi mizigo lakini hakuna kiongozi Wa ccm aliyetoka hadharani na kuwachana.

awamu hii ccm wanamhanya mkulu maana wanajuwa Mkuu hataki alichokifanya kibezwe

hapa kasi tu
 
Waziri wa mambo ya ndani huyo ni more than mzigo yaani ni kiloba

Swissme
 
kipindi cha jk tulizoea akina kinana wakiona waziri Fulani hatendi kazi kama ipasavyo walitoka hadharani no kutamka waziwazi kuwa waziri huyo ni mzigo.

awamu hii kuna mawaziri wengi mizigo lakini hakuna kiongozi Wa ccm aliyetoka hadharani na kuwachana.

awamu hii ccm wanamhanya mkulu maana wanajuwa Mkuu hataki alichokifanya kibezwe

hapa kasi tu
Siyo wengi wote ni mzigo tena mzito haswa.
 
Back
Top Bottom