Throwback Thursday

Below 40

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
785
1,525
Wale millennials watoto wa juzi angalieni tu hamruhusiwi ku comment.
IMG-20190217-WA0087.jpg
IMG-20190217-WA0088.jpg
 
Enzi hizo ukisikia mwanaume ujue mwanaume kweli,maana kulikuwa hakuna kulialia ,mtoto wa kiume miaka kumi anajua kujishughulisha ,mtu anasoma hategemei pochi ya mzazi
 
Acha zako wakati nyie ndo mlikuwa mnatafutiwa mpaka wachumba

Mlikuwa mnaenda shule mjitu mizima kama kina kangi lugola imefundishwa na mtu ambaye inazidiana naye miaka minne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana wangu hatukuwa na mambo kama yenu,mnashindana na dada zenu kujipodoa sisi hata mafuta ya kujipaka tulikuwa hatuyajui,nyie mnapaka mpaka wanja?
 
Mkuu we sema tu wanaume wa dar usipate shida kueleza saaaana
 
Back
Top Bottom