Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,942
Wahenga katika ubora wao sasa nakuona clever king!!!!
Ndio ni kosa la jinaiImagine ati na ntu kama wewe tukuzukie PM ni makosa! Ni vyema tukaweka picha zetu za uhalisia ili wajukuu wafahamike
Unamaanisha mzee yupi? Hapo kulia ni marehemu DJ maarufu sana enzi hizo Eddy Sally akiwa na bitozi (Beatles) mwenzie huko Lusaka miaka ya sabini.Hivi hii kitu huwa ni mzee mwenye kweli?
Sasa kwanini uhangaike na ya wengine?
Basi wewe ni Muhenga mkuu.Uwiiiii hata hizo pipi nlikulaga mnooo ...tena ni tamu sio kama mapipi yao ya siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaa! Mimi sio muhenga kivile MkuuWahenga katika ubora wao sasa nakuona clever king!!!!
Ahahahaa! True Mkuu.Tuwe waangalifu tunapojadiliana kwani inaonyesha hata akina Malisa Gibson , Salary Slip , Retired ni wale wale
Hakuna kosa mkuu,love is blind Super women 2Ndio ni kosa la jinai
Kuna mtu nimeona ka'comment kwamba yule wa kulia ni PMUnamaanisha mzee yupi? Hapo kulia ni marehemu DJ maarufu sana enzi hizo Eddy Sally akiwa na bitozi (Beatles) mwenzie huko Lusaka miaka ya sabini.
Aisee nimecheka sana.
ddaaaahhh!! ..hii si ndio bunduki tulikuwa tukimaliza vibiriti nyumbani kwa ajili ya kupiga fataki??View attachment 563500 Nani anaikumbuka hii kitu? Teh! Teh!