now si ni metro mkuu?
oh mwenzio najuaga walibadilika kuwa metro na mbona ilikufa kifo cha mende au boss alikuwa mkinga?Sio. Kampuni ilikufa kabisa.
Mmiliki aliingia kwenye 18 za kigogo mmoja,kilichofata kinajulikanaoh mwenzio najuaga walibadilika kuwa metro na mbona ilikufa kifo cha mende au boss alikuwa mkinga?
kibooo sijawahi fahamu hii story nipe mchapo basiMmiliki aliingia kwenye 18 za kigogo mmoja,kilichofata kinajulikana
Acha umbea, wenyewe tukikumbuka machozi yanatulenga. Ila huyu kigogo huyuuuu.......................kibooo sijawahi fahamu hii story nipe mchapo basi
sawa mkuu nimeachaAcha umbea, wenyewe tukikumbuka machozi yanatulenga. Ila huyu kigogo huyuuuu.......................