Throw Back Wednesday.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,104
53,341
IMG-20160720-WA0044.jpg
 
Scandinavia ilikufa kwa kufanya magumashi ya mikopo. Collateral hizohizo anachukulia mikopo benki kadhaa bila ridhaa ya benki ya awali CRDB

CRDB wakaamua kukamata mali. Benki zile zingine kuona kusudio la CRDB wakajiunga kupinga mali ambazo nao wamezitumia km collateral kukamatwa na CRDB pekee. Alieanzisha hilo vuguvugu nadhani alikua Akiba.

Km nakumbuka, mahakama ilikubali benki zote zikaunganishwa kwenye kesi ya msingi.

Then, kampuni ikawa chini ya muflisi alieteuliwa na mabenki ma lengo likiwa muflisi aiendeshe huku analipa madeni na kuuza mali hadi madeni yote yaishe.

Hayo yaliandikwa sana kwenye magazeti kipindi hicho.

kisu cha ngariba na Mulhat Mpunga
Bavaria yuko sahihi. Kampuni ilifilisika (ilifilisiwa).
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom