mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,379
- 3,826
Anayesema ni chizi nk. Anageneralise tu bila evidence. Wakati Mwingine tunapuuza tu.Hatuongelei kuhusu siasa.
Tunaongelea kama madai yanayohusishwa kufanywa na Magufuli kama kweli Magufuli
alihusika moja kwa moja au la.
Unapesema Magufuli ni fisadi, chizi, jambazi, muuaji hayo ndio tunayoyaombea uthibitisho.
Na si falsaafa za Magufuli.
Ukisoma philosophy of science utaelewa kwanini nimetumia mfano huo.
Lakini kusema kuna mambo alikuwa wrong hiyo inaelezeka. Nimekuelewa sana ila wtz wengi huishi kwa kuamini zaidi kuliko hali halisi ya mambo. Hii ndio maana ubishi umetawala sana akili zetu.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app