THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

Nafuu kabisa huyu Kamanda Arushaone ameliona hili wajamen! sweetlady karibu jukwaa la mapinduzi ya kweli!

Huko hatung'atuki!

Afadhali Arushaone umeliona hilo , mie mwenyewe nna mpango wa kurudi zangu jukwaa la siasa manake nishachoshwa na masredi ya kitoto yalojaa chit chat....


Atakaenionea Masanilo amwambie aje anichukue kondoo wake nimeamua kurudi kundini!


KARIBU TENA MPENDWA WETU!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom