THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.

kabla klik kwenye forum ya CHIT CHAT utakuta maneno hayo hapo chini

  • General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!

Hivi tafsiri yake ni nini? naomba mtoa mada na waliokusapoti mnitafsilie kwa kiswahili maana wengine hapa hii lugh ya akina thank you tumekariri tu, si unajua tumesoma zile shule ambazo kila kijiji zipo
 
Afadhali Arushaone umeliona hilo , mie mwenyewe nna mpango wa kurudi zangu jukwaa la siasa manake nishachoshwa na masredi ya kitoto yalojaa chit chat....

Atakaenionea Masanilo amwambie aje anichukue kondoo wake nimeamua kurudi kundini!
 
Last edited by a moderator:
Pal Catherine, tushapoteza members wengi sana wa CHIT CHAT baada ya kuona ni mathread mengi yamekaa kiutoto na mengine yamekopiwa na kupestiwa hapa aidha kutoka FB au za hapahapa za zamani!!

inasikitisha sana pal..... halafu ni watu wazima haswa tena wengine nawafahamu hadi kwa sura. bora umewapa za uso leo.
 
Last edited by a moderator:
kabla klik kwenye forum ya CHIT CHAT utakuta maneno hayo hapo chini

  • General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!

Hivi tafsiri yake ni nini? naomba mtoa mada na waliokusapoti mnitafsilie kwa kiswahili maana wengine hapa hii lugh ya akina thank you tumekariri tu, si unajua tumesoma zile shule ambazo kila kijiji zipo
let's talk abt anything lakini sio nonsense. ngoja pal aje kutafsiri.. lol
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom