Thread za kuulizia mshahara zimepungua.Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano.

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,015
16,447
Ama kwa hakika..serikali ya awamu ya tano inastahili pongezi..na hii ni dalili ya kuongezeka hali bora kwa watumishi..kipindi Cha nyuma tarehe Kama hizi zingejaa nyuzi za kuulizia mshahara kama umetoka.
 
Lazima zipunguwe kwasababu watu wengi hawana tena mishahara kwasababu ya madeni ya benki, sakos, vikoba na vitu kama hizo.
Yaani hata wakiulizia mishahara ni sawa na kujisumbua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom