Thread za Kuendeleza Jukwaa la Ujasiriamali

Mike Mushi

JF-Expert Member
Feb 10, 2006
253
572
Wakuu,

Shukran kwa Narubongo kwa kupendekeza hili jukwaa, naamini litasaidia kuendeleza ujasiriamali.

Kuna thread nyingi zilianzishwa hapo zamani, tutashukuru kama tukipaste link hapa ili ziletwe humu.

Twende kazi...
 
Mkuu Mike mungu akubariki sana sana sana yaani sijui hata nikushukuru vipi, nimefurahi kupita kiasi kwa kusikia kilio chetu.

kama nilivyoahidi kwenye ile thread nitaipromote JF na kuwashawishi watu/makampuni waje kuadvertise humu (japo kamwe hamtafahamu kama niliplay part yoyote ile)... members wengine tumieni nafasi zenu kuwashawishi makampuni/ofisi kuja kujitangaza JF na hata kutangaza biashara zetu wenyewe hapa JF.
 
Yaa nimependa hii hoja yako Narubongo......tuanze na makampuni yale yanayotuhusu kwa maana ya aina ya huduma ni kwa ajili ya wajasiriamali:cool2:
 
Kabisa Kaka.. Tutashukuru mkiwapa presure hayo makampuni kuja kutangaza hapa.

Mkuu Mike mungu akubariki sana sana sana yaani sijui hata nikushukuru vipi, nimefurahi kupita kiasi kwa kusikia kilio chetu.

kama nilivyoahidi kwenye ile thread nitaipromote JF na kuwashawishi watu/makampuni waje kuadvertise humu (japo kamwe hamtafahamu kama niliplay part yoyote ile)... members wengine tumieni nafasi zenu kuwashawishi makampuni/ofisi kuja kujitangaza JF na hata kutangaza biashara zetu wenyewe hapa JF.

Mkuu,

Tunafurahi sana tunapokuwa na ma balozi wazuri wa JF. Na tunaamini utasambaza ujumbe mzuri na kuendelea kukuza jukwaa letu.
 
naomba jukwaa hili liwe lenye tija as usual
Sasa kama jukwaa hili tayari huwa ni "lenye tija as usual" kuna haja gani tena ya kuomba liwe "lenye tija as usual"? Si tayari lina "tija as usual"? Hahahahahahaa.... Watanzania masikini tuna matatizo sana kwenye kuwasiliana.
 
sijui hujaelewa nini hapo ...... nikikwambia "keep it up" nitakuwa nimekosea ..... hiyo ndiyo maana halisi ya ambacho hukuelewa

anyways kuna watanzania wanaopenda kutumia utanzania wao kuwasononesha na kuwanyanyapaa watanzania wenzao kwa sababu zao za kibinafsi, majivuno na umangimeza pasipo kuleta tija yeyote ile...... mimi najivunia utanzania wangu kwa hali yoyote ile niliyonayo
 
sijui hujaelewa nini hapo ...... nikikwambia "keep it up" nitakuwa nimekosea ..... hiyo ndiyo maana halisi ya ambacho hukuelewa...
jukwaa limeanzishwa hata siku mbili halina, unasema unaomba liwe lenye tija as usual, as usual ya lini? lol
 
nadhani unapotoka bila kujua ... unasema jukwaa limeanzishwa halina siku mbili ... kumbe hauna umakini ... angalia thread za jukwaa hili jipya nyingi ni za miaka zaidi ya miwili .... sasa unajipi jipya la kusema au unataka uonekane unajua kukosoa tuu .... we must keep it up
 
Back
Top Bottom