mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Yanga inataka kumsajili Ally Kiba kutoka Coastal Union
Zana angefaa aende yanga maana simba kashakuwa mzigo asnteni yanga kama mtalifanikisha hiloyanga wapo mbioni kumsajiri zana coulibary kwa ajiri ya mashindano ya kimataifa maana imeonekana boxer hana uzoefu wa mashindano hayo
Wakimsajili huyo nahamia KMCyanga wapo mbioni kumsajiri zana coulibary kwa ajiri ya mashindano ya kimataifa maana imeonekana boxer hana uzoefu wa mashindano hayo
Bakini na mcheza shoo wenu, kwetu si maahala pa mareject. Hakuna mchezaji wa Simba atapata sajiliwa kwetu. Kwanza wachezaji wenu wote vibabuZana angefaa aende yanga maana simba kashakuwa mzigo asnteni yanga kama mtalifanikisha hilo
Vibabu ndo wanaoongoza kuoa vijana😂Bakini na mcheza shoo wenu, kwetu si maahala pa mareject. Hakuna mchezaji wa Simba atapata sajiliwa kwetu. Kwanza wachezaji wenu wote vibabu
atawasaidia kuanzisha kikundi cha taarabYanga inataka kumsajili Ally Kiba kutoka Coastal Union
Mo mshampatia Hati ili atoe hela ya usajili?atawasaidia kuanzisha kikundi cha taarab
Kiboko yenu Mzee Kilomoni tuuZana angefaa aende yanga maana simba kashakuwa mzigo asnteni yanga kama mtalifanikisha hilo
Wapenda helaVibabu ndo wanaoongoza kuoa vijana😂
John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu yetu. Bocco ambaye alikuwa mchezaji bora wa Simba na Ligi Kuu kwa msimu wa 2017/18 na Mshambuliaji Bora kwa msimu wa 2018/19 amefunga jumla ya mabao 30 ya Ligi katika misimu miwili