Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,449
- 2,924
Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k
Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo itakuwa na kifaa/material husika ikiwa na variations zake na bei kulingana na eneo husika.
Karibu...