Thread ya Bei za Malighafi mbalimbali za ujenzi

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,439
2,000
Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mamati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k

Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo itakuwa na kifaa/material husika ikiwa na variations zake na bei kulingana na eneo husika.

Karibu...
 

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,439
2,000
Material
Bei (TShs.)
Eneo
Tofali
 1. 6"
 2. 5"
Bei ya Tofali
 1. 1,350/=
 2. 1,150/=
Kinyerezi - Dar es Salaam
Mbao
 1. 2"x2" x 12'
 2. 2"x2" x 12' (treated)
 3. 2"x2" x 18' (treated)
 4. 2"x4" x 12'
 5. 2"x4" x 12' (treated)
 6. 1"x6" x 12'
 7. 1"x8" x 12'
 8. 1"x8" x 12' fisher board - treated)
 9. 1"x10" x 12'
 10. 1"x10" x 12' fisher board - treated)
 11. 2"x4" x 18' (treated)
 12. 2"x6" x 12'
 13. 1"x4" x 12'
 14. 2"x6" x 18'
Bei ya Mbao
 1. 2,500/=
 2. 2,800/=
 3. 5,000/=
 4. 5,000/=
 5. 4,500/=
 6. 5000/=
 7. 8500/=
 8. 9500/=
 9. 13500/=
 10. 15500/=
 11. 9500/=
 12. 8000/=
 13. 2800/=
 14. 19000/=
Tegeta - Dar es Salaam

Simu:
 • 0759630751
 • 0687371138
 • 0654830416
Drewa (Mineral Stones) - 25 KGs Bucket90,000/=Dar es Salaam
Emulsion White (Hi Cover) - 20 Litters Bucket27,000/=Dar es Salaam
 

innowaley

Member
May 15, 2017
31
95
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 12 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 

M2WAWA2

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
578
1,000
Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mambati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k

Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo itakuwa na kifaa/material husika ikiwa na variations zake na bei kulingana na eneo husika.

Karibu...
UMEFIKIRIA JAMBO JEMA SANA
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
21,677
2,000
Price ya rangi

DREWA (MINERAL STONE)
90,0000
25KG BUCKET
drewa.jpeg
drewa.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom